Uje na somo la ndoa mkuu ,kataa ndoa tushawishike ila ukazie kwa kuangalia vibinti vya sasahivHakika ya kale ni dhahabu ,ni mengi tuliyafanya enzi zetu lakini kutokana na sayansi na teknolojia mambo yamebadilika kabisa.
Haya ni machache kati ya mengi tuliyofanya enzi zetu.
1: kijiji kizima kulikuwa na duka moja la ushirika siku bidhaa ikiletwa wananchi wanajipanga mstari kupokea japo kidogo.
2: hakukuwa na mashine za kusaga au kukoboa ila mashine zetu zilikuwa mawe unakaanga mahindi yakipata joto unasanga kwenye jiwe.
3:gari la kwenda mikoani lilikuwa linapita Mara moja kwa mwezi .
4:kifungua kinywa cha watoto kilikuwa kiporo cha ugali pamoja na chumvi.
5: kutokana na uaba wa sabuni tulitumia majani ya miti kuyafikicha na kutoa mapovu watu wa ziwani nahisi watanielewa vyema,majani hayo yalipatikana ziwani.
6: watoto wa kiume walitahiliwa kwa kutumia visu vidogo tena bila ganzi yaani kavukavu.
7: wakati wa kupata chakula wanaume walikaa sehemu yao na wanawake walikaa sehemu yao.
8: mafuta ya kula hayakuwepo ila tulitumia sana samuli .
9:mke na mme wakitofautiana ndoa haivunjiki bali mke uenda upande wa mme wake ili kupata suruhu na baada ya hapo maisha uendelea.
10:vyakula vyetu havikukobolewa kabisa ..
Ahsate
Karibuni kwa nyongeza
Acha usel atafuta mwanamke uoe.Uje na somo la ndoa mkuu ,kataa ndoa tushawishike ila ukazie kwa kuangalia vibinti
Utaki kuoa?Uje na somo la ndoa mkuu ,kataa ndoa tushawishike ila ukazie kwa kuangalia vibinti vya sasahiv
Kuna suzuki bado zina izo kidude ase 😂
🤣🤣🤣Kuna harufu ya Uganga ndani yako ,ila vibinti vya sahivi vigezo kibao ila akili ya kujiongeza hakunaAcha usel atafuta mwanamke uoe.
Kama una 28 - 35
Oa
AaaaaahKuna suzuki bado zina izo kidude ase 😂
Sitaki nataka ,,,,nowdays vigezo kibaoUtaki kuoa?
Suzuki na nissan vioo upandisha kwa iko kidude ina boaga sannlAaaaaah
Duuh
🤣🤣
Alafu siku nyingi sijapanda suzuki.
Kuna vijana humu watasema hio ni mikono ya robot🤣🤣
Dah unanikumbusha mbali enzi za Nyerere miaka ya sabini huku ukitaka kununua nyama lazima uombe kibali Kwa mwenyekiti wa mtaa.Hakika ya kale ni dhahabu ,ni mengi tuliyafanya enzi zetu lakini kutokana na sayansi na teknolojia mambo yamebadilika kabisa.
Haya ni machache kati ya mengi tuliyofanya enzi zetu.
1: kijiji kizima kulikuwa na duka moja la ushirika siku bidhaa ikiletwa wananchi wanajipanga mstari kupokea japo kidogo.
2: hakukuwa na mashine za kusaga au kukoboa ila mashine zetu zilikuwa mawe unakaanga mahindi yakipata joto unasanga kwenye jiwe.
3:gari la kwenda mikoani lilikuwa linapita Mara moja kwa mwezi .
4:kifungua kinywa cha watoto kilikuwa kiporo cha ugali pamoja na chumvi.
5: kutokana na uaba wa sabuni tulitumia majani ya miti kuyafikicha na kutoa mapovu watu wa ziwani nahisi watanielewa vyema,majani hayo yalipatikana ziwani.
6: watoto wa kiume walitahiliwa kwa kutumia visu vidogo tena bila ganzi yaani kavukavu.
7: wakati wa kupata chakula wanaume walikaa sehemu yao na wanawake walikaa sehemu yao.
8: mafuta ya kula hayakuwepo ila tulitumia sana samuli .
9:mke na mme wakitofautiana ndoa haivunjiki bali mke uenda upande wa mme wake ili kupata suruhu na baada ya hapo maisha uendelea.
10:vyakula vyetu havikukobolewa kabisa ..
Ahsate
Karibuni kwa nyongeza
Hadi baadhi ya cruiserSuzuki na nissan za kijeshi vioo upandisha kwa iko kidude ina boaga sannl
Nyie watoto wa kishua sio😅Hadi baadhi ya cruiser
Hivi hakuna uwezekano wa kuondoaHadi baadhi ya cruiser
Kwanini?Nyie watoto wa kishua sio😅
Kitambo mnaongelea magariKwanini?