Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,907
Dah! hizi dawa, mimi nilikuwa nikizimeza baada ya siku mbili zinaanza kuniwasha na ifikapo si ya nne basi usingizi unakata kwa hiyo naweza kesha macho huku nikijikuna......hatari sana....Mimi nilikuwa zinaniwasha mwili mzima nikizimeza..
Kosa kwangu ilikuwa kukoga maji baridi....hapo kuwasha ni maradufu, pia nakumbuka miaka ya 80/90 wadada wakitaka kutoa mimba au kujiua waliitumia sana.'Kolokwini' ile dawa ina nguvu za ajabu, yaani ikikarubia kugusa ulimi tu ina uwezo wa kukivuta nje chakula chote ulichokula. Dawa chungu kama imetengenezwa na shetani, halafu bahati mbaya iwe inakuonea, yaani ukinywa ni full kuwashwa kwa muda siku tatu mfululizo bila kupumzika, halafu muwasho wake ni hadi kwenye kinyeo na makende. Ukianza kiwashwa hujitokezi mbele za watu, maana kuna maeneo utashindwa kujikuna. Ukigusa maji hata tone tu kuwasha kunaongezeka mara tatu zaidi.
Mbaya zaidi enzi zile kulikuwa Na radio Tanzania tu Na yenyewe usiku inakata matangazo. Kama kwenu hamna radio kaseti lazima ukesheDah! hizi dawa, mimi nilikuwa nikizimeza baada ya siku mbili zinaanza kuniwasha na ifikapo si ya nne basi usingizi unakata kwa hiyo naweza kesha macho huku nikijikuna......hatari sana
ukisikia shubiri ndio ile....Mimi nilikuwa zinaniwasha mwili mzima nikizimeza..
Boss dawa mbaya sana hizo zimefanya watu wengi viziwi wengine wamepoteza uwezo wa kusikia vizuri na unaweza bubu kabisa.nilikuwa nikizimeza hizo au Kwinini.. maskio yanalia diiiii iiiiiiii siku nzima.
pia inachanganywa kwenye mkorogoSijawai kutumia.ila nawajua wadada kadhaa waliokunywa ili kujiua
Hata ingekuwepo radio kaseti utaiwasha mkuu?Mbaya zaidi enzi zile kulikuwa Na radio Tanzania tu Na yenyewe usiku inakata matangazo. Kama kwenu hamna radio kaseti lazima ukeshe
Ukimaliza tu kuinywa basi jua kuwa umejikatia leseni ya siku 3 bila kuoga.
Pia kabla ya kunywa hakikisha una vifaa tiba kama gunzi la muhindi lililokauka kwa ajili ya kupooza miwasho midogo dogo, na kama iyo haitoshi basi kuwa na kisu butu kupoozea ile miwasho ya ghafla pale kwenye unyayo wa mguu
Tukirudi kwenye kutapika, basi jua utatapika kila chakula ulichokula, kikiisha ndipo utakapoanza kutapika maji na baadae nyongo ya njano na kijani kwa wale ma concord
Kweli hata MDOGO wanguBoss dawa mbaya sana hizo zimefanya watu wengi viziwi wengine wamepoteza uwezo wa kusikia vizuri na unaweza bubu kabisa.
Hahahha...mimi nilitumia mwaka 2000 nikiwa Chuo, nilimeza 2, baada ya masaa mawili sura yangu ikawa sawasawa na Mh. Pinda.Natafakari, hivi aliyetengeneza Chloroquine alikuwa anawaza nini hasa ile harufu bado naisikia dawa ile ili upone ni lazima ukimaliza dosage utapike ndipo upate nafuu.
Mara ya mwisho kutumia ilikua mwaka 2000 sijui kama muuguzi yule wa Minaki Dispensary bado yupo 4X4X2 ule uchungu basi sio wa dunia hii olivia common dosage.
Nimecheka kama mazuri.Ukimaliza tu kuinywa basi jua kuwa umejikatia leseni ya siku 3 bila kuoga.
Pia kabla ya kunywa hakikisha una vifaa tiba kama gunzi la muhindi lililokauka kwa ajili ya kupooza miwasho midogo dogo, na kama iyo haitoshi basi kuwa na kisu butu kupoozea ile miwasho ya ghafla pale kwenye unyayo wa mguu
Tukirudi kwenye kutapika, basi jua utatapika kila chakula ulichokula, kikiisha ndipo utakapoanza kutapika maji na baadae nyongo ya njano na kijani kwa wale ma concord