Wahenga season 3

Wahenga season 3

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,212
Reaction score
16,915
haraka haraka haina baraka
ngoja ngoja huumiza matumbo
mbona vigeugeu nyie 😕

hivi hawa wahenga walikuwa wanafikilia kupitia wapi??

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
 
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako mara oo mstahmilivu hula mbivu mara mstahmilivu mbivu hula mbovu ilimrad tafran walikua wanafkiria through their tummy[emoji23]
 
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako mara oo mstahmilivu hula mbivu mara mstahmilivu mbivu hula mbovu ilimrad tafran walikua wanafkiria through their tummy[emoji23]
natamani niwaone niwakate makofi​
 
Wahenga wanazingua eti mficha uchi hazai penda Sana hii methali ila sikuwah kuiona katika pepa hata moja enz zile za standard
Vll
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom