Wahenga nahitaji mawazo, kutokuwa na hamu ya kuwasiliana na mpenzi niliyeachana nae

Umemuacha au mmeachana? Cm znatoka wap sasa?
NB usiwe mwepesi kuachana achana utashindwa kuishi na umpendae
 
Sababu ya ku break ninini?
 
Inategemeana tumeachana vipi? Kupokea simu na pokea kama kawaida maana hauwezi jua anashida gani/habari gani. Hali kama hiyo ya kwako mara nyingi hutokea siku za kwanza kwanza ila nikisharudi katika hali ya kawaida sioni tabu kupokea simu au kujibu sms. Ila hisia juu yake zinapotea kabisa namchukulia kama rafiki tu.
 
Hapo inategemea sababu za kuachana na mazingira.siruhusu haya mawasiliano kabisa hasa km wote mumeamua kuuvunja huo uhusiano.
 
Wengine wanakupigia ili wakwambie uwahi kutumia ARV mkuu usipuuze
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…