Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 43,995
- 110,373
Kuna watoto watakupigia nyeto kwa haya maneno wallah.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukua [emoji3][emoji3][emoji3] akitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
![]()