Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

Hao wanaitwa chukuchuku jje's atakuwa anawajua....

Kuna kawimbo wakati tunawachimba tunaimba..

Chukuchuku toka .... wanaitikia tokaaa.

Noma saana.

Sio chuchu tu... wapiga puchu watatoa ushuhuda. Karibuni.
ngoja niwe msomaji
 
Niyaone tu jaman ya kifuani yapo eenh
Haha umenikumbusha kipindi nasoma nimekaa zangu kumbe kifungo cha juu kimeachia sina habari alikuja mdada akaniambia mshipa naomba ufunge hicho kifungo unanidisturb sana au ukakae sehemu nyingine nisione hizo nywele
 
tupoooooo
Wapo wale wengine wanakaa kwenye maji,mtoni au ziwani vinang'ata kweli kakishakung'ata kachuchu kanavimba unajipa moyo manyonyo yanakua makubwa kumbe uvimbe

Watoto wa siku hizi hawajui hizi mana wanashinda kwenye shule zao za English medium wakitoka jion wanaungia kwenye mageti yao hawakutani na fukufuku
Fuku fuku toka mama yako kajaaa

Fuku fuku toka mama yako kajaaa

Kwann hujanitagsaiv manyonyo yamekuwa makubwa kusimama mpaka upige deki
 
Haha umenikumbusha kipindi nasoma nimekaa zangu kumbe kifungo cha juu kimeachia sina habari alikuja mdada akaniambia mshipa naomba ufunge hicho kifungo unanidisturb sana au ukakae sehemu nyingine nisione hizo nywele
He he ebu weka picha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom