Nakusalimiaa jamaniSitakiii baki nayo mwenyewe
Bila kusahau NYANGE NYANGE NIPE KUCHA NYEUPEEEEEE!!Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa
Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukuaakitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
![]()
Hahahaha huu nimeukumbuka ....mkienda porini wadada ndo walikua wanaongoza msafara wanapepea mikonoo juu mpaka bhasiBila kusahau NYANGE NYANGE NIPE KUCHA NYEUPEEEEEE!!
Fuku fuku toka mama yako kajaaa
Fuku fuku toka mama yako kajaaa
Kwann hujanitagsaiv manyonyo yamekuwa makubwa kusimama mpaka upige deki




Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa
Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukuaakitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
![]()
Huyu mshikaji (fukufuku) nilikuwaga nalala nae chupini usiku mzima. Nilikuwa namuweka kwenye duduwasha langu ili likuwe kubwa kama muhogo, kuna jamaa mtaani alituambiaga eti ukijichanja kwenye dushe unamuweka huyu mshikaji ili alambe zile damu, akifanya vile ndo dushe linakuwa kubwa. Mpaka sasa sijajuwa ukubwa nilionao ni kwa ajili ya huyu mdudu au ndo baraka yangu.


fukufuku alifanya yake na dushe limekuwaNipo naendelea kuwataza maana nakumbuka katika harakati za kuwatafutia hao fukufuku nahisi ujira wangu nitaupata sasaUmeshawatizama wahenga kk
