Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Mi nayajua madude flani hivi yapo kama bilinganya watoto wa kiume wanaobalehe wale walikua wanachagua limoja kweny maua yake wanalifunga kamba inakua inaning'inia,jinsi linavyoendelea kukua wanaamin na dushe inakua kufatana na lile lidude....tunaita limbambata![]()



kweli hiyo niishuhudia huko kwetu hahahahh