Wahenga mnaikumbuka hii?

Kumbe. Ndio ipo hivi nilikua naisikia tuu spana malaya
 
Iliitwa 'Spana malaya" kwa sababu ilikuwa na uwezo wa kufungua nati nyingi za saizi mbalimbali
 
Hilohilo.
Na baiskeli yangu ya Avon.
 
Nshaipigia kazi Sana tu Hiyo Spana Malaya.Malaika wa Juzi wao wanaona Viduara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…