Wahehe mupooo?

Tulibana Myaave...!Mno Tuu! Thuliho Na Ugiimbi
 
Duuuuuuuuuu!!!!, Hiyo Kali Hasa Kipindi hiki Tanangozi inatema ulanzi wa kutosha
 
mdesi mkubwa wewe hiyo pembeni in bahari. iringa na bahari wapi na wapi

Amewauliza Wahehe mpo?. kwani wahehe wanaogopa kuishi karibu na Bahari?. usikute walisogeza karibu na maji ili wakasafishe vizuri kamboga kao
 
Watani zangu hii biashara Iringa inalipa?. nije nifuge hutu tumnyama huko kwenu. make serikali inatuonea wivu Wasukuma, kufuga Ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…