Director-k
Member
- Mar 12, 2014
- 88
- 26
Kiongozi mkuu wa uongozi wa utozaji ushuru na usafi soko la ilala alikua ni muhaya ikawa kila mtoza ushuru kila kona ya soko ni muhaya.
Soko likajaa watu wa kabila moja tu, kila ikitangazwa kazi wanapewa wahaya tu.
Mamlaka ya soko hilo imeamua kuufukuza uongozi wa utozaji ushuru na usafishaji wa soko sababu zipo nyingi lakini kubwa ni mbili;
1. Ni kukithiri kwa uchafu sokoni, wameshindwa kudhibit uchafu.
2. Ukabila, uongozi una ubaguzi wa kikabila unatoa ajira kwa kabila moja tu (wahaya).
Source: mi mwenyewe nilikuwepo wakati wa utoaji wa tamko hilo.
Kuna makabila mengine Ni mtihani kwakweli,,Sa sijui inakuwaje mtu wa kabila ilo km ikitokea akawa president,Ni hatari
We ni kabila gani?
nashomile mpaka university
Mna chuki binafsi.
Mi Sio Muhaya Kama Wewe.
We ni muha au mdigo!
Yani We Acha Tu Mkuu ilifikia Kipindi Muhaya Akiacha Kazi Au Kafukuzwa Anapigiwa Simu Muhaya Mwingine Kujaza Nafasi, Pia Kingine Kila Walipo Wahaya Wa 2 Au Wa 3 Katika Kundi Kubwa La Mchanganyiko Utasikia Tu Wanaongea Kihaya. Watu Watu Noma Hawafai Ktk Uongozi
Thread imekaa kibaguzi baguzi na sina uhakika kama mletaji hakuwa na lake moyoni kuhusiana na kabila husika!Kuna makabila mengine Ni mtihani kwakweli,,Sa sijui inakuwaje mtu wa kabila ilo km ikitokea akawa president,Ni hatari
Kwa Nini Mkuu. Lakini Kidooogo Upatie!
Thread imekaa kibaguzi baguzi na sina uhakika kama mletaji hakuwa na lake moyoni kuhusiana na kabila husika!
Basi kama vipi wapeni Wakwere tuondokane na hizi lawama maana kama ni uchafu dar es salaam yote inanuka na sio soko la ilala tu.
Ungambire stupid infront of my wife haaa haaa hawa jamaa ni shidaaaaa.