VIVIANI:blah: je kama alikua meunganisha? maana kama alikuwa na dgree ya wezekana alikuwa na ujuzi wamabo ict huyo fundi mchundo wa ttcl akujua maana kuna watu watundu nakumbuka simu zilikuwa zinawekwa kufuli uoni button lakini tulikuwa tunapiga kwakubonyeza batton ya mkonga!!Umechemka nikweli alikuwa anaongea na marekani yani atoke marekani nauli $2000 ashindwekulipia simu??namtu anahodhi dgree ya sheria??Nikati yadgree ngumu??
acha manjonjo ya kihaya wewe nani kakwambia degree ya sheria ndo degree ngumu, labda kama ulikuwa kilaza, kimsingi hakuna degree ngumu ni kichwa chako na jinsi walimu wanavyotoa shule, wahaya bwanaa
Soma vizuri mkuu. Umeambiwa huyo bwana amemaliza mlimani au nje ni nje ya Bukoba nini?????????????Najua PhD hutaki kuujua ukweli maana ndo hali halisi japo wewe umejiita PhD nashukuru lakini najua siyo wewe wengi waaina yako hawataki kukubali ukweli!!Hivi wewe umetoka nje umefungua ofisi ya uwakili kweli usiwe na simu??eti fundi ndo anamwambia nimekuja kukuunganisha ni metoka tccl huo ni udhalilishaji wa hali ya juu kwanza mimi ningempiga huyo fundi....lol
Ya tangu nikiwa darasa la pili B
VIVIANI:blah: je kama alikua meunganisha? maana kama alikuwa na dgree ya wezekana alikuwa na ujuzi wamabo ict huyo fundi mchundo wa ttcl akujua maana kuna watu watundu nakumbuka simu zilikuwa zinawekwa kufuli uoni button lakini tulikuwa tunapiga kwakubonyeza batton ya mkonga!!Umechemka nikweli alikuwa anaongea na marekani yani atoke marekani nauli $2000 ashindwekulipia simu??namtu anahodhi dgree ya sheria??Nikati yadgree ngumu??
Ya tangu nikiwa darasa la pili B
ila zenye Maslahi duniVIVIANI:blah: je kama alikua meunganisha? maana kama alikuwa na dgree ya wezekana alikuwa na ujuzi wamabo ict huyo fundi mchundo wa ttcl akujua maana kuna watu watundu nakumbuka simu zilikuwa zinawekwa kufuli uoni button lakini tulikuwa tunapiga kwakubonyeza batton ya mkonga!!Umechemka nikweli alikuwa anaongea na marekani yani atoke marekani nauli $2000 ashindwekulipia simu??namtu anahodhi dgree ya sheria??Nikati yadgree ngumu??