Hapo Maprof wanakaa mbele, wenye masters kulia, Degree and its equivalent kushoto, Adv Dip, Dip and the like, wanakaa katikati. Certificate, form 6 wao watafuatilia kwenye luninga! Wengine hawaruhusiwi hata kusikia! Hah hah hah hah!!! I like these guys!
Alikuwa India akichukua PhD yake ya sheria. Michango inaendelea akirudi atatoa.
nimecheka sana lakini ndio uhalisia wao,ila siwapendi hata kidogo
Hata sisi hatukupendi!!nimecheka sana lakini ndio uhalisia wao,ila siwapendi hata kidogo
Mbona mwanasheria Ruttashobolwa sijamuona hapo..?
Hata sisi hatukupendi!!