Wahaya Bravoooo-Cheki hii KAGERA DAY

KOKUTONA

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
8,649
6,088
Kagera Day ni balaa

Uchangiaji fedha katika siku ya Kagera day.

Kiasi MABIRIONI ya shilingi yilichangwa mbele ya Lowasa ikiwa nipamoja na zawadi.

1. Prof. Rweikiza wa Marekani- Sh. milioni 500

2. Prof.Rutashobya wa Chuo kikuu cha Havard-Milioni 400

3. Prof. Rweyimamu wa Afrika Kusini hakuweza kuja leo lakini ametuma
hundi ya USD 20000

4. Prof Rugakingira wa Ufaransa ametoa Sh. millioni 50

5. Prof. Rwebangira yeye amemtuma mkewe Kokushubira na yupo hapa na
Cash. Milioni 15000 amechelewa ndege ifwakti akitokea kutoa matibabu
Canada kwa mgonjwa anaye mhudumia huko.

6. Prof. Kokubenza ambaye nimewasiliana naye kwa simu na amedai kuwa
ameshikwa na mafua amesema hakuna tatizo tumtume mtu aende London
akachuklue Milioni 45.

7. Dk. Kagirwa huyu alikuwa Mzumbe miaka ya 90 lakini sasa yupo chuo
Kikuu cha Oxford amesema atatoa milioni 40

8. Dk. Muganyizi ametoa milioni 25.

9. Dk. Mchunguzi ambaye sasa anamalizia Reseach yake ili aupate
Uprofesa amesema yeye na mkewe ambaye ametunukiwa PhD juzi hapo
mlimani pamoja na mtoto wao Rwechungura atatoa milioni 20.

10. Dk.Kaiza Rutabanzibwa, alileta JEEP COMPASS inadiwe na zaidi ya US dollors 27, 300 zilipatikana, Dk, Bajumuzi alimnunulia mkwe Prof. Kemilembe

11. Wengine wengi kama akina Katabazi, Kavodago, Kaceritale,
Kazenitalema, Katalyeba na akina Kokushuma wao wametoa kiasi kidogo na
wao wamekaa kule nyuma hata hatukuona haja ya kukupa mkono kwa kuwa
wametoa cash milioni kati ya 5 na 9. Pia mheshimiwa hawa nikuwa wana
Masters tu ndo hata tumeona elimu bado ndogo sio sawa na akina Rwegasira.
 
Hapo Maprof wanakaa mbele, wenye masters kulia, Degree and its equivalent kushoto, Adv Dip, Dip and the like, wanakaa katikati. Certificate, form 6 wao watafuatilia kwenye luninga! Wengine hawaruhusiwi hata kusikia! Hah hah hah hah!!! I like these guys!
 
Back
Top Bottom