hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 5,987
- 3,818
Nahimiza tuwe wazalendo na tuendelee kulipa kodi
Askari wanaescort billions of money kutoka point A kwenda Point B wanalipwa posho elfu 30, plus risk ya kupigwa ambush na kuuliwa, hao wahasibu wakajiajiri wajilipe hiyo mamilionUtakuta mhasibu kutwa nzima anashika pesa ofisini, pesa za kampuni mshahara kwa mwezi laki tano(500,000/=)
Hii inafanya wawe na tamaa ya kuiba fedha za kampuni,kwasiku unashika fedha milioni kumi za ofisi (10,000,000/=) kwa mwezi unaingiza milioni mia tatu (300,000,000/=)mshahara laki tano sio kweli!
Wahasibu muwafikirie maofisini kazi ya mahesabu ngumu jamani inaumiza kichwa! Hapo utakuta aandae reports, alipe wafanyakazi mishahara na bado analipwa pesa kidogo.