Utakuta mhasibu kutwa nzima anashika pesa ofisini, pesa za kampuni mshahara kwa mwezi laki tano(500,000/=)
Hii inafanya wawe na tamaa ya kuiba fedha za kampuni,kwasiku unashika fedha milioni kumi za ofisi (10,000,000/=) kwa mwezi unaingiza milioni mia tatu (300,000,000/=)mshahara laki tano sio...