Wahasibu walipwe vizuri mshahara

Wahasibu walipwe vizuri mshahara

Utakuta mhasibu kutwa nzima anashika pesa ofisini, pesa za kampuni mshahara kwa mwezi laki tano(500,000/=)

Hii inafanya wawe na tamaa ya kuiba fedha za kampuni,kwasiku unashika fedha milioni kumi za ofisi (10,000,000/=) kwa mwezi unaingiza milioni mia tatu (300,000,000/=)mshahara laki tano sio kweli!

Wahasibu muwafikirie maofisini kazi ya mahesabu ngumu jamani inaumiza kichwa! Hapo utakuta aandae reports, alipe wafanyakazi mishahara na bado analipwa pesa kidogo.
NI kweli aisee,na uo mshahara wa laki 5 bado hajakwa NSSF elfu 50 bado LoanBoard elfu 75 bado PAYE anabakiwa na Netpay ya laki 3 na elfu na kama elfu 20 aisee,wawafikirie wahasibu bwana
 
Pole sana.
Mie dereva tu ila nakunja 2.2M kwa mwezi (hapo bado per diem).
Kusoma sana ni uoga wa maisha!
Pole..sana.Tour Guide hapa..Ni Kifaransa na Kizungu tu, tena kwa Ras- Simba, wiki mbili tu.Sijawahi kugusa mshahara..Wachumba 39 wote wa mambele huko..kuwaoa ni kipengele. Kazi ni kuwazungukia na kuwatembezea dushe.
 
Mara mia. Sasa muhasibu ana kazi gani ngumu?
Kaka kuna wahasibu wanafanya kazi kwenye kampuni ambazo zinamiliki wafanyakazi zaidi ya 300 na ao wafanyakazi wanalipwa kwa masaa yao waliyofanya kazi mzee acha ii kitu kutengeneza payroll ya watu wote ao balaa ukizingua kidogo unampa mtu hela ya bure
 
Hata wa kiwa 1000 kwani unaandaa kila siku? Kwani huwa hatuwaoni.kuingiza majina tu kwenye excel unabaki na kazi ya kubadili tarehe , kufuta anayeacha kazi na kupachika anaye ingia.Majina, kaanza lini,kafanya siku ngapi nk.vyote mnaletewa?Muhasibu ni jina tu la kuwababaishia mademu.Benki Cashier anacheza na noti siku zote 365 kuliko hata muhasibu.
 
Utakuta mhasibu kutwa nzima anashika pesa ofisini, pesa za kampuni mshahara kwa mwezi laki tano(500,000/=)

Hii inafanya wawe na tamaa ya kuiba fedha za kampuni,kwasiku unashika fedha milioni kumi za ofisi (10,000,000/=) kwa mwezi unaingiza milioni mia tatu (300,000,000/=)mshahara laki tano sio kweli!

Wahasibu muwafikirie maofisini kazi ya mahesabu ngumu jamani inaumiza kichwa! Hapo utakuta aandae reports, alipe wafanyakazi mishahara na bado analipwa pesa kidogo.
Si mlisema walimu tu ndo Wana mishahara midogo kumbe na wa_hacbu
 
Hata wa kiwa 1000 kwani unaandaa kila siku? Kwani huwa hatuwaoni.kuingiza majina tu kwenye excel unabaki na kazi ya kubadili tarehe , kufuta anayeacha kazi na kupachika anaye ingia.Majina, kaanza lini,kafanya siku ngapi nk.vyote mnaletewa?Muhasibu ni jina tu la kuwababaishia mademu.Benki Cashier anacheza na noti siku zote 365 kuliko hata muhasibu.
mkuu wahasibu walikukosea nini?
 
Utakuta mhasibu kutwa nzima anashika pesa ofisini, pesa za kampuni mshahara kwa mwezi laki tano(500,000/=)

Hii inafanya wawe na tamaa ya kuiba fedha za kampuni,kwasiku unashika fedha milioni kumi za ofisi (10,000,000/=) kwa mwezi unaingiza milioni mia tatu (300,000,000/=)mshahara laki tano sio kweli!

Wahasibu muwafikirie maofisini kazi ya mahesabu ngumu jamani inaumiza kichwa! Hapo utakuta aandae reports, alipe wafanyakazi mishahara na bado analipwa pesa kidogo.
Acha kazi anzisha auditing firm yako kuhusu mtaji we si unashika pesa nyingi? Jiongezee! Ila usile peke yako!
 
Back
Top Bottom