Wahasibu na wenye uelewa naombeni msaada wenu hapa tafadhali

Accounting bana....reserves- for big entities, savings-for individuals.
 
Nimekupata kiongozi!!

Kwa hiyo salio la mwezi huu nitaliweka wapi kwenye mwezi ujao? Income section au expenses section?

Weka kipumbu, au tumbula. ok how about bank account? Hiyo haitwi salio dogo, inaitwa saving. mwezi ujao tutakuonyesha jinsi ku-balance cheque book. Natoka baruti, hodari wa kuuliza we. excellent! adios amigo
 
Mkuu, mshahara sio revenue, ni income. Income zote sio revenue ila revenue ni income. Salio linalobaki kwenye mshahara let's say salio la September haliwezi kuwa income ya October. You only account income once. Pia mshahara sio income kama unafanya biashara. Kama unajilipa mshahara basi mshahara ni drawings inayopunguza equity yako, ni expense ya mmiliki wa hiyo biashara. Salio lolote linalobaki baada ya kutoa expenses linakwenda kwenye retained earnings. Retained earnings yako ni sehemu ya networth ya asset zako, kiuhasibu tunasema "owner's equity". So kutokea kule kwenye retained earnings ndio unaweza kufanya drawings kwa ajili ya matumizi yako binafsi, i.e kujilipa mshahara. Kama umejilipa mshahara na ukajikuta sehemu ya mshahara uliyodraw imebaki na ukaamua kuirudisha kwenye biashara, basi hiyo hela uliyoirudisha haitaingia kama income itaingia kama capital contribution, yaani itaingia kama sehemu ya mtaji wa hiyo biashara yako hivyo itaongeza equity yako i.e. capital. Maelezo haya yanahusu kama unapata income kama sehemu ya biashara na sio income ya mshahara pekee.
Mkuu nimependa sana maelezo yako, ingawa umeongea kwa lugha za kitaaluma zaidi ila inavutia sana. Tafadhali fanya kama kuaandika mada juu ya swala hili na nadhalia zingine za uchumi na uhasibu. Pia kama hautajali naomba uniambie vitabu ambavyo naweza kusoama ili kujiongezea uelewa katika mambo ya kihasinbu. Income na revenue !!! hapo umenipa jambo la kufanyia kazi
 
Nilidhani nimevutiwa peke angu
 
We jamaa mm niko mtaani sina hata dusko dala.wewe mwenzangu mishahara inakutana? Life ain't fair
Sio inakutana kwa kupenda. Nna ndugu na madogo wananitegemea.

Nisipo kuwa makini kwenye matumizi jioni itafika alafu nikute droo haina pesa...
 
Mkuu nimependa sana maelezo yako, ingawa umeongea kwa lugha za kitaaluma zaidi ila inavutia sana. Tafadhali fanya kama kuaandika mada juu ya swala hili na nadhalia zingine za uchumi na uhasibu. Pia kama hautajali naomba uniambie vitabu ambavyo naweza kusoama ili kujiongezea uelewa katika mambo ya kihasinbu. Income na revenue !!! hapo umenipa jambo la kufanyia kazi
Tatizo la watu wa humu JF ukianza kuelezea kitu cha kitaaluma wanakuona kama unajidai au unawaringishia. Wataanza kutoa lugha za kejeri na kukatisha tamaa. Kama una shida au swali lolote mkuu bora unifuate pm. Kuna watu humu hawajui chochote kuhusu uhasibu lakini ni mabingwa wa kukejeri. Watu wengine hatupendi kubishana eti just to prove the point.
 
nielekeze me nayachanganya.
In summary Receipts is actual cash received during a period. It may be related to the period or not related to that period. Revenue and Income: These terms are normally used interchangeably. However in traditional accounting income=revenue minus expenses, i.e. profit. Income is in most cases used as a short form for net income. Revenue is what is earned from business transactions regardless of whether it is received or not. It is recorded on accrual basis. As an individual it is uncommon to record the salary you earn or work for on accrual basis and wait for actual receipt of the same to clear the accrued amount. You only record it when you actually receive it.
 
konda msafi Blaki Womani MVB Jr Mziba casanova69 SMU The Monk na wana JF wengine...

Ile kazi nimeimaliza kiasi fulani...

Nimejaribu ku attach excel imekataa ila nimeweka zip file, ukiifungua utaona hilo file!

Naomba muipitie kama itahitaji mabadiliko let me know!

NB: Iko automated, kiasi utachotumia unajaza kwenye column ya "Amount".. Ukishaijaza itakuletea mapato na matumizi yako in terms of %, itakuonyesha matumizi gani yalikua makubwa na yapi yalikua madogo!!

Pia kuhusu swala la salio, chini kabisa nimeweka rows zenye open balance, closing balance na total income...zote hizi zitakupa total, automatically ukishajaza!

Mshahara nimeamua kutumia "take home salary" ila unaweza tumia basic salary alafu makato ukayaweka kwenye row ya "fixed expenses"!!

Feel free kuitumia, na kwa yeyote mwenye maoni nayakaribisha!
 
Attachments

  • budget_analysis2 (2).zip
    10.6 KB · Views: 16

kiongozi amna file,inaonekana imegoma.
 
Usichanganye revenue ambayo ni mapato ya biashara kwenye mchanganuo wako binafsi hili neno hutumika kwenye kunukuu mapato ya kibiashara. Wala siku yoyote rafiki, usichanganye matumizi ya biashara na matumizi yako binafsi. Ili kupata uhalisia. Umetumia neno "mapato na matumizi yangu" kumbe hii ni personal Income.

Kwa hio, Mshahara wako uweke kwenye column ya Mapato (income) kama kuna payroll tax umekatwa weka upande wa matumizi.
Mapato (Disposable income) toa Matumizi (consumption) = Savings Kulingana na keynesian economics. Weka hizi benki Na kama unamadeni lipa. Mwezi unaokuja unafanya vivo hivo. Tumia hiyo spread sheet kama bajeti angalia wapi au which row unaweza kubana matumizi mwezi ujao

Mishahara ikiingiliana unaweka kwenye mwezi uleule uliopata hela, wewe uko kwenye cash basis accounting ukizishika ndio unaandika. Ukianza biashara vijana wenzio watakwambia kuhusu Accrual basis accounting, yani ni namna nyingine ya kunukuu matukio maalum kwa biashara
Mziba umeeleza vizuri. Unajua ukiwa mhasibu usifikiri kila mtu anajua uhasibu, Unatakiwa kumuelezea kwa njia rahisi bila hata kutumia maneno ya kiuhasibu. Kwa mtu aliyewahi kucheza na cash book au hata petty cash book ni rahisi kuelewa haya mambo. Mtu akisha sema "akipata mshahara wake" lazima ujue kwamba mapato yake siyo ya biashara na matumizi yake vivyo hivyo. Kama anatoa pesa kutoka kwenye mshahara wake kuwekeza kwenye biashara yake hilo ni swala lingine kabisa na kwenye matumizi yake binafsi inatakiwa kuonyeshwa kama "uwekezaji kwenye biashara fulani...."

Kwa ufupi mshahara uarecord to pale ambapo umeupata (yaani Receipts) ukitumia ndiyo unaonyesha matumizi (yaani Payments). Mwisho wa siku unaonyesha Receipts and Payments Account kwa mwezi. Balance ya mwezi ule unaichukua kama receipts ya mwezi mpya. Hakuna reserves account inayohusika pale.
 
Angalia tena, nimerekebisha.
budget.png

ipo vizuri,ila zijaelewa SAVING&INVESTMENT ni kitu inajitegemea au ipo kwenye statement,na inavyoonekana hiyo statement utakuwa unacalculate mwisho wa mwezi,inamaana utakuwa unarecord pembeni(ledger,cashbook etc) au?
 
Baadhi ya binadamu ndivyo walivyo hao watakaosema hivyo unaachana nao kikubwa wapo waliopata elimu

Back
Top Bottom