Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,259
- 34,214
Kwanza nawasilimu!
Pili...
Katika harakati za kuhakikisha naweka kumbu kumbu za mapato na matumizi yangu kwa mwezi nimeamua kutengeneza "spread sheet" ambayo ina sehemu mbili, Income na Expenses. Sehemu ya "revenue" nimeweka mshahara wangu na mapato mengine, na sehemu ya "expenses" nimeweka matumizi yangu ya mwezi husika.
Swali,
Je kama mishahara imekutana, yaani nimebakiwa na salio kwenye mwezi husika, je hili salio kwenye mwezi ujao nitalijaza kama "Income(mapato)" au "Expense(matumizi)"?
Mfano baada ya matumizi kwa mwezi nikabakiwa na 200k, je hii 200k kwenye mwezi ujao nitaijaza kama revenue (mapato)?
NB: Baada ya kutoa revenue na expenses nabakiwa na kiwango cha pesa kichobaki kwenye mwezi husika!
Naomba kuwasilisha tafadhali!
UPDATE!
Ile kazi nimeimaliza kiasi fulani...
Nimejaribu ku attach excel imekataa ila nimeweka zip file, ukiifungua utaona hilo file!
Naomba muipitie kama itahitaji mabadiliko let me know!
NB: Iko automated, kiasi utachotumia unajaza kwenye column ya "Amount".. Ukishaijaza itakuletea mapato na matumizi yako in terms of %, itakuonyesha matumizi gani yalikua makubwa na yapi yalikua madogo!!
Pia kuhusu swala la salio, chini kabisa nimeweka rows zenye open balance, closing balance na total income...zote hizi zitakupa total, automatically ukishajaza!
Mshahara nimeamua kutumia "take home salary" ila unaweza tumia basic salary alafu makato ukayaweka kwenye row ya "fixed expenses"!!