Genius Messi
Member
- Oct 14, 2017
- 74
- 52
Ikiwa tumeteketeza Malaika wale masikini hata bado hawajaifaidi Oxygen ya Mola wetu duniani,basi na hawa wahamiaji wanaokamatwa kwenye Noah/Malori nao wateketezwe haraka Maana hatujui kama huko watokako afya zao ni thabiti wasije tuletea magonjwa hatarishi.