Mkuu hii tread nimerudia kuisoma kama mara nne na nimeshindwa kuielewa. Imenipelekea kujishuku mwenyewe kwamba huenda naanza kuugua ugonjwa wa mawenge!! NISAIDIENI JF.
Mkuu hii tread nimerudia kuisoma kama mara nne na nimeshindwa kuielewa. Imenipelekea kujishuku mwenyewe kwamba huenda naanza kuugua ugonjwa wa mawenge!! NISAIDIENI JF.
Huyu Mwanahalisi bila shaka ni matunda ya hao anaowaita mashujaa. Kama mtu una uwezo wako, bidii na malengo kwa nini uvue nguo, utoe pesa au uwatumie wapumbavu kama hao wa OUT ili kupata digrii? Halafu ukiishaipata hiyo digrii kwa njia hiyo unajiona msomi au garasa tu? Watu kama hao ndiyo chanzo cha Ufisadi. Usiotegemee mtu kama huyo akishika madaraka awe muadilifu hata kidogo.