Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,976
- 24,277
Mkuu, tatizo ni lako. Kama huwezi kuwavumilia maswaibu yao, fanya mpango uhaame au jenga kwako.Bonjour
Aisee , najuta kupanga na Hawa watu "Waha" nataka kuhama hapa
Ni Wabishi sijawahi kuona
Wachafu kinoma,
Wana makelele
Kujisifu Sasa, wakiwa ndani wanacheka utafikiri humo ndani Kuna matajiri
Wanasifa, kila muda ni simu za mihamala tu haha
Sasa, ukute Muha ni mshabiki wa Yanga,
Wanafua kila siku
Wanaferi. Hizi mother natureBonjour
Aisee , najuta kupanga na Hawa watu "Waha" nataka kuhama hapa
Ni Wabishi sijawahi kuona
Wachafu kinoma,
Wana makelele
Kujisifu Sasa, wakiwa ndani wanacheka utafikiri humo ndani Kuna matajiri
Wanasifa, kila muda ni simu za mihamala tu haha
Sasa, ukute Muha ni mshabiki wa Yanga,
Wanafua kila siku
Wewe Muha tuliaYaani ni wachafu,halafu wanafua kila siku[emoji15] Hiii contradiction yaweza tu kutoka kwa mtu mwenye chuki iliyopitiliza kwa waha .Acha upumbavu .
Hivi wingi wa muha nini miwa?Bonjour
Aisee , najuta kupanga na Hawa watu "Waha" nataka kuhama hapa
Ni Wabishi sijawahi kuona
Wachafu kinoma,
Wana makelele
Kujisifu Sasa, wakiwa ndani wanacheka utafikiri humo ndani Kuna matajiri
Wanasifa, kila muda ni simu za mihamala tu haha
Sasa, ukute Muha ni mshabiki wa Yanga,
Wanafua kila siku
Kaka nikisema kufua kila siku sio justification ya kusema wao ni wasafiMkuu, tatizo ni lako. Kama huwezi kuwavumilia maswaibu yao, fanya mpango uhaame au jenga kwako.
Turudi kwenye uzi;
Ubishi ni hulka. Si waha tu wabishi, makabila mengine yapo. Na siyo waha wote ni wabishi.
Uchafu? Hilo ni tatizo.
Kujisifu? Kwa namna ipi? Kama mtu kafanikisha lake kwa viwango basi acha ajisifie.
Anayepaswa kucheka ni tajiri pekee? Maskini yao kununa? Nani kaweka hii principle? Hapana, kila mtu afurahi kwa namna yake.
Simu za miamala? Swadakta kabisa. Hujui furaha ya kupata muamala? Nafsi huwa inazuuzika na huponya magonjwa ya moyo ikiwemo sonona.
Baya ni hilo la UCHAFU tu. Na labda makelele pia. Mengine yote ni hayana mantiki.
Sijamaliza, umesema ni Wachafu huku ukisema wanafua kila siku. Huo uchafu ni wa namna gani? Kufua ni usafi.
ππMwami ntale mwenyeweAchana na waha.Keep them out of your dirty mouth.Ishi maisha yako.Kama wewe ni wa maana sana Jenga uhame .
Kwa hio kufua ni uchafu.Bonjour
Aisee , najuta kupanga na Hawa watu "Waha" nataka kuhama hapa
Ni Wabishi sijawahi kuona
Wachafu kinoma,
Wana makelele
Kujisifu Sasa, wakiwa ndani wanacheka utafikiri humo ndani Kuna matajiri
Wanasifa, kila muda ni simu za mihamala tu haha
Sasa, ukute Muha ni mshabiki wa Yanga,
Wanafua kila siku
Huyo amecopy ID yangu ili apate mtelemko.Jamaa aliyeandika uzi anaitwa Ice breaker π
umesahau uchawi, ni wachawi pia. kuna siku nilipanda bus nikakaa siti na muha mmoja, alionekana ni tajiri mkubwa sana. katika maongezi niligundua siti karibia 5 round me walikaa wafanyabiashara waha wakitokea kufunga mzigo China. kukawa na ubishi wanabishana wao kwa wao maandamano yaliyopangwa na Mange kipindi kile cha magu, yule aliyekaa na mimi akatoa kauli kwamb, " au polisi wafyatue risasi wauwe hata watu 20 waonyeshe jivataizi na kila kitu kitaishia hapo". niligeuka kumwangalia yule faza na wala hakustuka kama alikuwa ameongea toka kwenye kilindi cha moyo wake kabisa. nikajisemea moyoni, hili lifanyabiashara kama linaweza likasajesti kutoa roho mwanadamu mwenzie, limetoa roho wangapi kwaajili ya hizo biashara zake?Bonjour
Aisee , najuta kupanga na Hawa watu "Waha" nataka kuhama hapa
Ni Wabishi sijawahi kuona
Wachafu kinoma,
Wana makelele
Kujisifu Sasa, wakiwa ndani wanacheka utafikiri humo ndani Kuna matajiri
Wanasifa, kila muda ni simu za mihamala tu haha
Sasa, ukute Muha ni mshabiki wa Yanga,
Wanafua kila siku
Ndio mkuu.[emoji16][emoji16]Mwami ntale mwenyewe