The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,430
Natamani waha wa jf waje chapu hapa kwenye uzi huu ili niwagombanishe na wewe mpaka utengeneze Id nyingineBonjour
Aisee , najuta kupanga na Hawa watu "Waha" nataka kuhama hapa
Ni Wabishi sijawahi kuona
Wachafu kinoma,
Wana makelele
Kujisifu Sasa, wakiwa ndani wanacheka utafikiri humo ndani Kuna matajiri
Wanasifa, kila muda ni simu za mihamala tu haha
Sasa, ukute Muha ni mshabiki wa Yanga,
Wanafua kila siku
Hawaniwezi washenzi haoNatamani waha wa jf waje chapu hapa kwenye uzi huu ili niwagombanishe na wewe mpaka utengeneze Id nyingine
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mimi nimeshajenga, na hama soonAchana na waha.Keep them out of your dirty mouth.Ishi maisha yako.Kama wewe ni wa maana sana Jenga uhame .
Few moment later...Wachafu kinoma
Wanafua kila siku
Kwa hiyo ni wachafu ila wakiwa shabiki wa yanga gafla wanakuwa wasafi kupitiliza. Yanga hoyeeeeeBonjour
Aisee , najuta kupanga na Hawa watu "Waha" nataka kuhama hapa
Ni Wabishi sijawahi kuona
Wachafu kinoma,
Wana makelele
Kujisifu Sasa, wakiwa ndani wanacheka utafikiri humo ndani Kuna matajiri
Wanasifa, kila muda ni simu za mihamala tu haha
Sasa, ukute Muha ni mshabiki wa Yanga,
Wanafua kila siku
Mdogo wangu akili zako fupi, kwani kufua kila siku ndio kigezo Cha usafiMwanzo umesema hivi...
Few moment later...
Sawa haina shida mkuuMdogo wangu akili zako fupi, kwani kufua kila siku ndio kigezo Cha usafi
Ukitaka ku prove, ngoja Muha akitoka chooni, hawaflash choo
Nakubusu kuna mtu ananisimanga hukuBonjour
Aisee , najuta kupanga na Hawa watu "Waha" nataka kuhama hapa
Ni Wabishi sijawahi kuona
Wachafu kinoma,
Wana makelele
Kujisifu Sasa, wakiwa ndani wanacheka utafikiri humo ndani Kuna matajiri
Wanasifa, kila muda ni simu za mihamala tu haha
Sasa, ukute Muha ni mshabiki wa Yanga,
Wanafua kila siku
Gafla wanafua kila sikuKwa hiyo ni wachafu ila wakiwa shabiki wa yanga gafla wanakuwa wasafi kupitiliza. Yanga hoyeeeee
😳Wachafu kinoma
😳Wanafua kila siku