Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,445
- 3,403
Visa ya #COVID19 nchini Uganda vimefikia 160 baada ya visa vipya 21 kutangazwa jana kufuatia sampuli 1,896 kupimwa hapo jana
Kati ya sampuli hizo, 1,593 ni madereva wa malori na 303 ni sampuli kutoka katika jamii za Watu wa Uganda. Wagonjwa wapya wote ni madereva wa Malori
Kati ya Wagonjwa hao wapya, 8 ni Wakenya, 7 ni Watanzania, 5 ni Waganda na mmoja anatokea Sudan Kusini. Waliingia Uganda kupitia mipaka ya Mutukula, Busia na Elegu
Aidha, Wizara ya Afya nchini humo imetangaza kuwa wagonjwa 63 wamepona tangu kulipuka kwa #COVID19 nchini humo