Wagombea urais wawe pia wagombea ubunge katika majimbo yao

Thomas Odera

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
670
149
Katika marekebisho ya katiba mpya ya Tanzania kuwe na kipegele kinachoruhusu mgombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa pia mgombea ubunge katika jimbo analotoka ili kama atashindwa kuwa rais wa Tanzania basi walau atoe mchango wake bungeni. Naomba mchango wa wadau wengine
 
Nami nakubaliana sana na wazo hili,lakini nadhani ingekuwa vizuri zaidi wasiwe wagombea katika majimbo yao,bali iainishwe kuwa kama wakipata asilimia fulani ya kura za urais,basi wapate nafasi ya uwakilishi ndani ya bunge...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom