Wagombea chdema toeni hesabu ya kura kwa mujibu wa nakala za fomu za matokeo


Jatropha

Jatropha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2009
Messages
1,152
Likes
144
Points
160
Jatropha

Jatropha

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2009
1,152 144 160
ili kuondoa utata unaojitokeza kati ya idadi ya kura zinazotangazwa na tume na idadi ya kura wagombea wanavyodai kupata.
Nashauri badala ya kukaa kimya wagombea ubunge wanaodai kuchakachuliwa watupatie idadi ya kura kwa mujibu wa nakala za matokeo zilizowekwa sahihi na wasimamizi wa vituo vya kupiga kura na mawakala wa vyama vyote.

Vivyo hivyo chadema itoe idadi hiyo kwa nafasi ya urais.

Kitu hiki ndio kilifanyika ubungo kwa mhe john mnyika alitoa idadi ya kura zake mapema na kuzishinda njama za kuchakachua. Je ni kwanini hadi sasa hakuna mgombea yoyote aliyeiga utaratibu huu. Bila ya wagombea kutupatia figures zao mnatuweka njia panda kati ya kuiamini figures za tume au tuamini malalamiko yenu yasiyokuwa supported with figures.

]regia mtema amefanya hivyo, hongera sana. Wengine pia fanyeni hivyo
 

Forum statistics

Threads 1,250,868
Members 481,514
Posts 29,748,808