Katika hali ya kushangaza katika Mdahalo ulioendeshwa na TBC1 kwa wagombea wa ubunge Arusha mjini, imeonesha dhahiri Mgombea wa CHADEMA Mr Lema amepita bila kupingwa baada ya mpinzani wa wa karibu Dr Batilda kukimbia mdahalo huo. Hii ni fursa kwa wanaarusha sasa kujua kwamba hata kwenye matatizo ya msingi wanaweza kukimbiwa pia
Hata jimbo la Ubungo, ilionesha pia Mnyika hana mpinzani baada ya wagombea wenzake kutoonyesha dhamira ya dhani ya kutatua kero za wananchi. Kazi kwa wanaubungo, kuiachia hii lulu ni sawa na kupoteza jicho, je utaweza kuona?
Anayebisha abishe lakini ukweli uko pale pale, hawa vijana wanachapa kazi. Tutakua tunawarushia majimbo mengine vile vile
Huyu mama kumbe aliingia mitini? Huo udokta wake aliupatia kwenye Vyuo Vikuu vya "Kata?"

Mbona Godbless Lema alishashinda hata mwaka 2005 kwa mbali sana wakatumwa vijana kadha wabadhirifu wakahakikisha wanachakachua matokeo!Katika hali ya kushangaza katika Mdahalo ulioendeshwa na TBC1 kwa wagombea wa ubunge Arusha mjini, imeonesha dhahiri Mgombea wa CHADEMA Mr Lema amepita bila kupingwa baada ya mpinzani wa wa karibu Dr Batilda kukimbia mdahalo huo. Hii ni fursa kwa wanaarusha sasa kujua kwamba hata kwenye matatizo ya msingi wanaweza kukimbiwa pia
Hata jimbo la Ubungo, ilionesha pia Mnyika hana mpinzani baada ya wagombea wenzake kutoonyesha dhamira ya dhani ya kutatua kero za wananchi. Kazi kwa wanaubungo, kuiachia hii lulu ni sawa na kupoteza jicho, je utaweza kuona?
Anayebisha abishe lakini ukweli uko pale pale, hawa vijana wanachapa kazi. Tutakua tunawarushia majimbo mengine vile vile
Batilda nyumba ndogo ya Lowassa huyooo! !!!! na amezaa naye mtoto. Kumpa ubunge ni aibu tuuupu jamani tuiepuke hii aibu kwa kumpa mtu aliyeko serious. Lowassa ndiye mfadhili mkubwa wa Batilda tangu alipokuwa anafanya kazi ofisi ya Waziri Mkuu. Mchagueni Lema kwani Batilda anasukumwa tu na hana lengo lolote la kuleta maendeleo Arusha. Pili Batilda ana ukabila na amesikika akisema yeye ni mzawa kwa maana kwamba wasimpe kura mtu wa kuja kwa maana ya wachagga na makabila mengine. huyu mama ni mbaguzi mkubwa wa makabila na ndiyo sera kuu ya Lowassa. Yeye Lowassa angepewa ruhusu angewapukutisha wachagga kama Hitler alivyowapukutisha Wayahudi. Huyu amekwisha mwambukiza batilda sera zake chafu alizoanzisha Monduli na sasa Arusha mjini.

mimi si mkazi wa arusha kwahiyo sijui anayekubalika zaidi lakini jama niliona yule jamaa wa TLP [bonge ya mtu] kama mwenye vision ya juu zaidi na strategic thinking... i know this is unpopular here lakini ndio facts zanguKatika hali ya kushangaza katika Mdahalo ulioendeshwa na TBC1 kwa wagombea wa ubunge Arusha mjini, imeonesha dhahiri Mgombea wa CHADEMA Mr Lema amepita bila kupingwa baada ya mpinzani wa wa karibu Dr Batilda kukimbia mdahalo huo. Hii ni fursa kwa wanaarusha sasa kujua kwamba hata kwenye matatizo ya msingi wanaweza kukimbiwa pia
Hata jimbo la Ubungo, ilionesha pia Mnyika hana mpinzani baada ya wagombea wenzake kutoonyesha dhamira ya dhani ya kutatua kero za wananchi. Kazi kwa wanaubungo, kuiachia hii lulu ni sawa na kupoteza jicho, je utaweza kuona?
Anayebisha abishe lakini ukweli uko pale pale, hawa vijana wanachapa kazi. Tutakua tunawarushia majimbo mengine vile vile
Wajuzi wanasema jamaa alikuwa anakula mzigo tokea akiwa sekondari Tanga.