Wagombea CHADEMA - Lema (Arusha) na Mnyika (Ubungo) wapita bila kupingwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wagombea CHADEMA - Lema (Arusha) na Mnyika (Ubungo) wapita bila kupingwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkombozi, Sep 8, 2010.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Katika hali ya kushangaza katika Mdahalo ulioendeshwa na TBC1 kwa wagombea wa ubunge Arusha mjini, imeonesha dhahiri Mgombea wa CHADEMA Mr Lema amepita bila kupingwa baada ya mpinzani wa wa karibu Dr Batilda kukimbia mdahalo huo. Hii ni fursa kwa wanaarusha sasa kujua kwamba hata kwenye matatizo ya msingi wanaweza kukimbiwa pia

  Hata jimbo la Ubungo, ilionesha pia Mnyika hana mpinzani baada ya wagombea wenzake kutoonyesha dhamira ya dhani ya kutatua kero za wananchi. Kazi kwa wanaubungo, kuiachia hii lulu ni sawa na kupoteza jicho, je utaweza kuona?

  Anayebisha abishe lakini ukweli uko pale pale, hawa vijana wanachapa kazi. Tutakua tunawarushia majimbo mengine vile vile
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Huyu mama kumbe aliingia mitini? Huo udokta wake aliupatia kwenye Vyuo Vikuu vya "Kata?"
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  :becky::becky::becky::becky: Aha mbavu zangu mie lol! vyuo vya kata hii kiboko
   
 4. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160

  Buchanan, you have made my day!!:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
   
 5. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  hongereni, ,maana umekuwa tume ya uchaguzi
   
 6. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mkombozi wee acha tu. Lema sio mchezo. Unaweza kuona jinsi Chadema ilivyo na vichwa. Lema huyoo bungeni.

  Matilda aliishia mitini LOH. Na ndivyo itakavyokuwa bahati mbaya akawa Mbunge.
   
 7. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Shime wana Arusha wenzangu mumeona hali halisi sasa tujitokeze tukipigia kura chama chetu CHADEMA ili maendeleo yaje kwa haraka msidanganyike na vijikanga na vifulana. mmeona wenyewe.hana kazi yoyote na mimi ni anti yangu huyu
   
 8. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  University College London PhD (Planning Studies-Dev. Planning Unit) 1992 1997

  Brighton College of Technology-UK Certificate in Effective Management Skills 1995 1996

  University of Sussex M.A (Development Studies) 1990 1991

  University of Dar es Salaam B.A (Public Admin. & International Relations) 1985 1988


  Dr Batilida Salha Burian.jpg
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  aiseee hahahahhahaha!!!!!!!
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  kuna wagombea wawili wa chadema nimewaona kwwenye midahalo hii

  kuna huyu wa arusha na yule jimbo la vunjo

  hawa vijana wako juu sana yaani wanafaa sana kuongoza

  kaz kwa wana arusha
   
 11. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  High expectations za wagombea zinatia wasiwasi manake mgombea Lema nami nimemuona anajikubali sana. Ila majibu yakiwa tofauti watu wasije wakasimaia vidole gumba manake anadharau vyama vingine na wagombea wake na wao wakiwa hapo hapo.

  Mwaka wa uchaguzi tutaona mengi.
   
 12. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wagombea wote wa CCM ni mabubu..,hawawezi kutoa speech za maana kwa wananchi...!
  Ndio maana hata Kikwete hataki kuingia kwenye mdahalo..!
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mbona Godbless Lema alishashinda hata mwaka 2005 kwa mbali sana wakatumwa vijana kadha wabadhirifu wakahakikisha wanachakachua matokeo!
  Kwa ufupi anakubalika sana kijana huyu, na ni gumzo mitaani!
   
 14. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  MIMI NAONA HUYU MAMA Batilda hakuwa amejipanga ila kutokana na uhusiano mbaya kati ya Lowassa na Mrema ambaye ni Mbunge aliyepita basi Lowassa akaamua kumpendekeza nyumba ndogo yake ambaye ni Huyu mgombea wa CCM jimbo la Arusha mjini.
  Mambo ya mafisadi ya Richimondi kutaka hawara yake naye aingie kwenye siasa maanake nini kama si mchezo wa kuchezea akili za watanzania na hususani wana Arusha. Hebu kura zetu tumpe Lema kwani huyu kijana yuko serious na maendeleo
   
 15. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Batilda nyumba ndogo ya Lowassa huyooo! !!!! na amezaa naye mtoto. Kumpa ubunge ni aibu tuuupu jamani tuiepuke hii aibu kwa kumpa mtu aliyeko serious. Lowassa ndiye mfadhili mkubwa wa Batilda tangu alipokuwa anafanya kazi ofisi ya Waziri Mkuu. Mchagueni Lema kwani Batilda anasukumwa tu na hana lengo lolote la kuleta maendeleo Arusha. Pili Batilda ana ukabila na amesikika akisema yeye ni mzawa kwa maana kwamba wasimpe kura mtu wa kuja kwa maana ya wachagga na makabila mengine. huyu mama ni mbaguzi mkubwa wa makabila na ndiyo sera kuu ya Lowassa. Yeye Lowassa angepewa ruhusu angewapukutisha wachagga kama Hitler alivyowapukutisha Wayahudi. Huyu amekwisha mwambukiza batilda sera zake chafu alizoanzisha Monduli na sasa Arusha mjini.
   
 16. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  CHADEMA-MBUNGE ARUSHA Mr. Lema) NA UBUNGO (Mr. Mnyika) WAPITA BILA KUPINGWA.


  Wakati mwingine tujaribu kuwa makini kidogo,Kichwa cha habari ukikisoma utadhani hakuna wagombea wa vyama vingine au wagombea wengine wameshajitoa na kumwacha Lema apite bila kupingwa.

  Wakuu mpaka wakati huu Arusha wapo wagombea watano kutoka vyama vya CCM,TLP,CHADEMA,CUF na Demokrasia Makini.Mpambano mkali upo kwa wagombea watatu nao ni Bwana M Lyimo wa TLP,Bwana G Lema wa CHADEMA na Mama Batilda Buriani wa CCM yoyote kati ya hawa anaweza kuwa mbunge wa Arusha.

  Kwa waliofuatilia mdahalo vizuri bila kuwa ndani ya ushabiki wa vyama Bwana Lema alionyesha dharau kwa wagombea wenzake na wapiga kura wa Arusha kwamba yeye tayari ni mbunge na wenzake ni wagombea tu kitu ambacho si kweli hata kidogo.Sote tunajua wabunge,madiwani na Rais wa Tanzania atapatikana baada ya wananchi kupiga kura mwezi october 2010.Wananchi wanaweza kutoa tafsiri kwamba Lema haitaji kura zao ili awe mbunge kwakuwa kajitangaza tayari ni mbunge.Nadhani hapa tupata picha halisi jinsi Bwana Lema asivyo makini katika matamshi yake na pengine elimu inaweza kuwa sababu kubwa.

  Bwana Lema alipigwa dongo na mwanamama mmoja kuhusu kuhusika kwake kumrubuni diwani wa TLP sombeti na kumpeleka CCM ingawa msimamizi wa mdahalo alimtaka Bwana Lema kutokulijibu swali hilo bila shaka limetoa ujumbe mbaya kwa wapiga kura wa Arusha mjini.

  Mama Batilda halikacha mdahalo lakini haina maana kwamba hatakuwa na nafasi kwa wapiga kura wa Arusha mjini,bado naamni kabisa Mama Batilda pamoja na mapungufu yake kibao hasa mikakati ya kampeni anaweza kuibuka kidedea.

  Bwana M Lyimo ana nafasi nzuri ya kushinda ubunge kwasababu ni aina ya kiongozi anayetoa ahadi kwa mambo/jambo anayoweza kuyatekeleza.Ana uwezo mkubwa wa kujieleza na kujenga hoja.kuna swali aliloulizwa na mghombea udiwani wa CHADEMA kwamba yeye ni mgeni Arusha anawezaje kuyajua na kuyatatua matatizo ya wananchi wa Arusha.Bwana Lyimo alitoa majibu ambayo viongozi wengi wa CHADEMA hawakutarajia.Kwamba yeye ni mkaazi wa Arusha ana nyumba na ameshawahi kufanya biashara maeneo ya Bondeni.Nimekuwa nikihudhuria mikutano ya vyama vyote CHADEMA wamekuwa wakisema mara kwa mara Bwana Lyimo ni mgeni hapa Arusha na kwamba si vizuri kumchagua mgeni asiyejua mazingira ya mji wa Arusha vyema.

   
 17. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Wajuzi wanasema jamaa alikuwa anakula mzigo tokea akiwa sekondari Tanga.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hii kali ya mwaka
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mimi si mkazi wa arusha kwahiyo sijui anayekubalika zaidi lakini jama niliona yule jamaa wa TLP [bonge ya mtu] kama mwenye vision ya juu zaidi na strategic thinking... i know this is unpopular here lakini ndio facts zangu
   
 20. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Wakuu kama tumekuwa tunakataa kuingiza siasa za chumbani kwenye majukwa ya siasa hasa baada ya Dr Slaa kutuhumiwa kupora mke wa mtu iweje tumuhukumu Mama Batilda kwa mambo tunayoyapiga.Binafsi simpingi Mama Batilda kwasababu ni nyumba ndogo ya Lowasa nampinga kwasababu naamini hana uwezo wala kipaji.
   
Loading...