Elections 2010 Wagombea CHADEMA - Lema (Arusha) na Mnyika (Ubungo) wapita bila kupingwa

mimi si mkazi wa arusha kwahiyo sijui anayekubalika zaidi lakini jama niliona yule jamaa wa TLP [bonge ya mtu] kama mwenye vision ya juu zaidi na strategic thinking... i know this is unpopular here lakini ndio facts zangu

Heshima kwako Acid,

Heri wewe una ufahamu huo.
 
university college london phd (planning studies-dev. Planning unit) 1992 1997

brighton college of technology-uk certificate in effective management skills 1995 1996

university of sussex m.a (development studies) 1990 1991

university of dar es salaam b.a (public admin. & international relations) 1985 1988

View attachment 13415

du!!!, kumbe huyu mama kasoma chuo cha sus-sex? Kweli hii kiboko. Pia chuo cha planning lakini mazingira yanamshinda, wananchi wa arusha wanalalamika mji mchafu sana, na yeye amesoma planning na alikua waziri wa mazingira, akashindwa hata kuimarisha mji wa arusha wakati alikua na nyenzo zote. Hatudanganyiki, yeye asubirie viti maalumu ndio vinamfaa
 
mimi naona huyu mama batilda hakuwa amejipanga ila kutokana na uhusiano mbaya kati ya lowassa na mrema ambaye ni mbunge aliyepita basi lowassa akaamua kumpendekeza nyumba ndogo yake ambaye ni huyu mgombea wa ccm jimbo la arusha mjini.
Mambo ya mafisadi ya richimondi kutaka hawara yake naye aingie kwenye siasa maanake nini kama si mchezo wa kuchezea akili za watanzania na hususani wana arusha. Hebu kura zetu tumpe lema kwani huyu kijana yuko serious na maendeleo

bungeni ni mahali patakatifu, nyumba ndogo hazitakiwa mle ndani.
 
Kufunua kwamba ni nyumba ndogo ya Lowassa kunawaamsha watu zaidi wajue yuko pale kwa lengo gani. kama unakumbuka huyu mama alimwandikia Mama Killango kimemo bungeni wakati anajadili mjadala wa Richimondi akimweleza siyo mamabo ya kuongea bungeni. Lengo lake lilikuwa kumtetea Lowassa ili asiguswe. Kwa nini tusiseme na hapa Arusha anakuja kulinda maslahi ya Lowassa ambaye ni mroho wa mali kama nini. Akipata ubunge huyu mama watu watanyanganywa nyumaba na kuuziwa ndani kwani kila Lowassa atakapopapenda anununue anapapata kilaini. Pia ni kweli uwezo wa kuongoza hana na kwamba vyeo vyote alivyonavyo ni kwamba alilipwa fadhila na hawara yake ambaye ni Lowassa kama rushwa.
 
nilibahatika kutazama huu mdahalo, Yule jamaa wa Demokrasia makini kaniacha hoi. very very shallow!
 
Batilda nyumba ndogo ya Lowassa huyooo! !!!! na amezaa naye mtoto. Kumpa ubunge ni aibu tuuupu jamani tuiepuke hii aibu kwa kumpa mtu aliyeko serious. Lowassa ndiye mfadhili mkubwa wa Batilda tangu alipokuwa anafanya kazi ofisi ya Waziri Mkuu. Mchagueni Lema kwani Batilda anasukumwa tu na hana lengo lolote la kuleta maendeleo Arusha. Pili Batilda ana ukabila na amesikika akisema yeye ni mzawa kwa maana kwamba wasimpe kura mtu wa kuja kwa maana ya wachagga na makabila mengine. huyu mama ni mbaguzi mkubwa wa makabila na ndiyo sera kuu ya Lowassa. Yeye Lowassa angepewa ruhusu angewapukutisha wachagga kama Hitler alivyowapukutisha Wayahudi. Huyu amekwisha mwambukiza batilda sera zake chafu alizoanzisha Monduli na sasa Arusha mjini.

Ina maana EL nae amepoka 'mke wa mtu' au yeye EL ndo alipokwa kama 'mume wa mtu'? Kaaaz kwel kwel
 
mimi si mkazi wa arusha kwahiyo sijui anayekubalika zaidi lakini jama niliona yule jamaa wa TLP [bonge ya mtu] kama mwenye vision ya juu zaidi na strategic thinking... i know this is unpopular here lakini ndio facts zangu

yes hata mimi nilimpenda sana yule wa TLP Bwana Max Lyimo kiukweli ingawa sikai Arusha lakini kura yangu angepata, alikuwa anaelezea vizuri challenges za Arusha na namna ya utatuzi wa mambo mbalimbali.
Lema wa CHADEMA alikuwa anapoteza muda mwingi kujisifu kuwa keshapita anasubili kuapishwa na pia kudharau wezake. mimi sikumpenda kabisa
 
Heshima kwako Ng'azagala,

Mkuu jana Bwana Lyimo alikuwa Baraa mkutano wake ulijaa watu kiasi kwamba sasa CCM wameanza kumfuatilia kwa karibu baada ya kubaini Bwana Lema wa CHADEMA nyota yake imeanza kufifia kwa kasi ya ajabu.Duru za ndani za CCM zimebaini wakaazi wengi wa Arusha hasa kata za Sokoni 1,Sombetini na Elerai wanamkubali sana Bwana Lyimo.Kata za Bondeni [mjini kati],Levolosi na Kaloleni ni ngome ya Mama Batilda.Bwana Godbless Lema ana nguvu kubwa kata ya Sekei.Kata nyingine zilizo baki bado hazitoi picha halisi nani mwenye nguvu zaidi.

Kata ya Sombeti ni kubwa na ina wapiga kura wengine sana na ndiyo maana CCM wamestuka na wameanza kuifanyia kazi
 
wakuu kwani issue ya Kihiyo mmeisahau wako vihiyo wengi tuu hata wengine kidato cha nne walichapa mwendo....Tafakakuri
 
University College London PhD (Planning Studies-Dev. Planning Unit) 1992 1997

Brighton College of Technology-UK Certificate in Effective Management Skills 1995 1996

University of Sussex M.A (Development Studies) 1990 1991

University of Dar es Salaam B.A (Public Admin. & International Relations) 1985 1988

View attachment 13415

so what?
 
wakuu kwani issue ya Kihiyo mmeisahau wako vihiyo wengi tuu hata wengine kidato cha nne walichapa mwendo....Tafakakuri

Heshima kwako Manchester,

Ni kweli mkuu wangu Godbless Lema alidanganya watu kwamba ana cheti cha effective management bila kutaja chuo wala mwaka aliofuzu pia alisema tena uongo ana Advance Diploma in Human Resources Management bila kusema jina la chuo alichosoma na mwaka aliomaliza.Wapinzani wake waliofuatilia mdahalo wanajua kawadanganya wapiga kura wasiomfahamu sawa sawa.Ukweli ni kwamba Lema kamlaiza kidato cha nne hana elimu yoyote zaidi ya hiyo.Alitakiwa kusema kweli badala ya kudanganya ndiyo maana huyu jamaa simkubali hata kidogo wapo wagombea wenzake wenye elimu ya darasa la saba ambao wamewashinda maprofessor wakubwa kinachotakiwa ni kusema kweli wananchi siku hizi wanatazama sana utendaji wa mtu na si vyeti.

Uongo wa Bwana Godbless Lema unaweza kuja kumgharibu hata akishinda ubunge sijui ni kwanini CHADEMA wameshindwa kumshauri katika suala hili muhimu sana.
 
No comments kwa kuwa hatujamsikia Batilda, kutokufika kwake ni maagizo ya chama chake na sidhani kama anawaogopa wale wadogo zake Kielimu. Ni maoni yangu wala si mshabiki wa chama chochote
 
No comments kwa kuwa hatujamsikia Batilda, kutokufika kwake ni maagizo ya chama chake na sidhani kama anawaogopa wale wadogo zake Kielimu. Ni maoni yangu wala si mshabiki wa chama chochote
 
Ukweli lazima niseme mimi naichukia CCM (period), sina haja ya kutafuta data ili ni halarishe mtazamo wangu. CCM ni wezi (fulustop).
 
mimi si mkazi wa arusha kwahiyo sijui anayekubalika zaidi lakini jama niliona yule jamaa wa TLP [bonge ya mtu] kama mwenye vision ya juu zaidi na strategic thinking... i know this is unpopular here lakini ndio facts zangu

Hapo tupo pamoja mkuu.
 
nilibahatika kutazama huu mdahalo, Yule jamaa wa Demokrasia makini kaniacha hoi. very very shallow!

Aiseee yule jamaa balaa, aliniua zaidi aliposema kuwa ana stashahada aliyoipata nchini Canada.
 
Du! Kumbe mambo ya unyumba wa wagombea hawa mwaka huu tutayasikia mengi? Batilda naye? Mwe!

Anyway, nimeipenda sana hiyo hoja ya Vyuo Vikuu vya "Kata"! Hahahahaha! Mnanichekesha sana!
 
Back
Top Bottom