Wagiftishe: Tunabomoa lugha yetu wenyewe

Hivi lile neno 'mkwanjika' la Airtel ni kujenga lugha au kubomoa.? Maana limetoka kwenye mkwanja ambalo ni la kiswahili japo halijasanifiwa bado.
 
Hivi lile neno 'mkwanjika' la Airtel ni kujenga lugha au kubomoa.? Maana limetoka kwenye mkwanja ambalo ni la kiswahili japo halijasanifiwa bado.
Ndio yote hayo
 
wako wengi kama hao, kuna wale waliojitoa fahamu, hawataki kutumia neno sahihi la kiswahili la "decoder" wacha hao, kuna huku kwetu kwenye IT ndio kabisaaa, maneno yanachakachuliwa wanavotaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…