Waghana kiboko mazee....ubunifu!

Waghana kiboko mazee....ubunifu!

Hii fursa ingekuwa jirani ningeitumia, mtaani wangenikoma maana na mimi nitakuwa nimepanda ndege kwa mara ya kwanza,ila haikupaa kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya.
 
Ukipata chupa zako kadhaa za mvinyo unaweza kujikuta ukiogopa kushuka, jamaa wakikuuliza vipi, unawajibu sina vibali nikishuka uhamiaji watanidaka.

Hahahaaaa



Kwa sisi tuliozoea mitungi angani hamna shida hiyo,maana nikikumbuka sijawahi kuchekiwa hata siku moja zaidi ya kupewa onyo tu kuwa safari nyingine ukija umelewa kama hivi hatukuruhusu.....
 
Du kweli jamaa wanajua kutafuta namna ya kuvutia biashara zao.
 
Nicee

Kila mmoja atatamani kuingia...ubunifu mzuri kwa mapato
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom