Wageni Wengine, kaazi kweli kweli,

Wageni Wengine, kaazi kweli kweli,

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
37883.jpg
 
Wageni?!, no, but pet animals @home
 
Dah jamani mbona hiki kitoweo ADIMU mnakiweka hadharani kiasi hiki wakati tumefunga? aaaha
 
Dah jamani mbona hiki kitoweo ADIMU mnakiweka hadharani kiasi hiki wakati tumefunga? aaaha
Kwahiyo Angeiweka baada ya Ramadhani?

Hahahaha! Nyie ndo mpo kimwili mwili. Shinda Majaribu mkuu...
 
kweli ukitaka kumla chagua aliyenona maana naona jinsi alivyonona
 
Amekuja kuwatuliza madogo baada ya mama yao kuwaacha peke yao,huoni walivyoiharibu sebule..??
 
Huyo mdudu anaweza akawatafuna wote hao watoto wa mbwa.
 
Back
Top Bottom