Wageni wawekezaji, Mbona mwatutenda hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wageni wawekezaji, Mbona mwatutenda hivi?

Discussion in 'Jamii Photos' started by HorsePower, Jul 19, 2012.

 1. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Madhara ya hawa wageni tunaowapa ardhi yetu wenyewe kuchimba madini......

  ** huyu ni mtoto aliyeathirika na maji ya sumu yanayomwagwa kutoka kwenye migodi....TUNAELEKEA WAPI?????


  [​IMG]
   
 2. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Duuuh! Mkuu hii inatisha, Source PLZ!
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,992
  Trophy Points: 280
  Mto tigiti kule Mara-Musoma nini?
   
 4. K

  Kifuna JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 426
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hili jambo sijui kama wanaharakati wameliona? Mama Hellen Kijo Bisimba na Ananilea Nkya wapeni Kazi hii watamtetea huyu Dogo mpaka ngozi yake irudi kawaida.
   
 5. S

  Short white Senior Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  So sad! Anapatikana wapi tumsaidie huyu mtoto?
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu huyu ni mmoja kati ya wengi walioathirika na Maji yenye Kemikali yanayomwagwa mtoni na mgodi wa North Mara...Ng'ombe, Mbuzi....Samaki vilikufa kwa wingi!!
   
 7. H

  Haika JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Saa hizi wako kwenye Uranium, wewe unawarudisha nyuma?
  Hayo sasa ni ya wenyeji kuhangaikia nyie mliokosa mgao
   
 8. cedrickngowi

  cedrickngowi Senior Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana,yameshaongelewa sana haya na cha ajabu serikali inayafumbia macho.mkuu wa wilaya husika anafahamu juu ya hili,mkurugenzi wa halmashauri anajua kwa hiyo serikali yote ya mkoa inajua.
  Mungu atajibu vilio vya watu hawa cku moja.
   
 9. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,673
  Likes Received: 2,735
  Trophy Points: 280
  Mtutu Ndo suluhisho
   
Loading...