Waganga ni waongo

Waganga ni waongo

EveLady

Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
30
Reaction score
43
Mambo zenu
Mimi sijamboo ila kweli hawawatu ni waongo.
Unamuambia mtu aliye na matatizo akupe hela yeye atatolea wapi?
Shenzi type yaani mtu anadai ml 1 mwingine laki 620 mwingine 400 mwingine lako 150 mwingine 80.
Pumbavuu nimekasirika naona nikae na hali yangu.
Dah warongo tu Mungu atanipa mkweli siku moja ila sio hao.
 
Iv ulienda kwa mganga ulitaka maden yafutike au wanaokudai wasahau??

Ila mm ninachoamin wajinga hamtaisha apa duniani mbaya zaid mpo kwa wengi sana apa Tanzania
 
Iv ulienda kwa mganga ulitaka maden yafutike au wanaokudai wasahau??

Ila mm ninachoamin wajinga hamtaisha apa duniani mbaya zaid mpo kwa wengi sana apa Tanzania
Eh aisee mimi ni mjinga
 
Mwanamke anayeenda kwa waganga hafai kbs
 
Hivi kwanini watu ni Mambumbu hivi? Unajua unapokwenda kwa Mganga akikupa masharti magumu magumu unaona eti huyu ndiye anafaa, Sasa laki sita kwa mganga ya nini?

Bado hajakuagiza kichwa cha mama yako
 
Uliringa wee sasa umri nao huoo unakutupa mkono,Kama unaroga ili ukaolewe basi utapata tabu sana hapo bado babu mganga hajataka apige match na wewe ili bahati yako iongezeke.
 
Hivi kwanini watu ni Mambumbu hivi? Unajua unapokwenda kwa Mganga akikupa masharti magumu magumu unaona eti huyu ndiye anafaa, Sasa laki sita kwa mganga ya nini?

Bado hajakuagiza kichwa cha mama yako
Aisee sio hapa kwangu
 
Back
Top Bottom