pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,963
- 7,648
Yaani bado unamtafuta mganga mwengineMambo zenu
Mimi sijamboo ila kweli hawawatu ni waongo.
Unamuambia mtu aliye na matatizo akupe hela yeye atatolea wapi?
Shenzi type yaani mtu anadai ml 1 mwingine laki 620 mwingine 400 mwingine lako 150 mwingine 80.
Pumbavuu nimekasirika naona nikae na hali yangu.
Dah warongo tu Mungu atanipa mkweli siku moja ila sio hao.