Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,146
- 48,388
Maelfu ya waganda wanaomuunga mkono mgombea wa chama Uganda National Uñity platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu kama Bobi Wine, wameanza kuhamasishana kugomea Uchaguzi wa nchi hiyo mwakani.
Waganda hao wanaona ni bora kuiga Kampeni ya No reform No election ya CHADEMA.
CHADEMA iko kimataifa!!
Waganda hao wanaona ni bora kuiga Kampeni ya No reform No election ya CHADEMA.
CHADEMA iko kimataifa!!