Waganda msiuze PF3, ni dhambi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,947
22,098
Nimeonaaa NTV nikajisikia huzuni sana

Wananchi wanalia na kulalamikia polisi kusababisha mauwaji ya ndugu zaoo kwa kutotoa P3 wengine wamejiongeza kwakulaumu uongozi mzima kutofwatilia hili

Wananchi wamechoka ukiona hivi kama kufa ndugu zetu wamekufa vya kutosha tunaomba polisi waweke wazi P3 inauzwa ama bure na ni sh ngapi

Wananchi wanajua ni bure wanashangaa mgonjwa kagongwa na gari anapita vituoni bado wanataka pesa waandike P3 wengine hawana uwezo wanaishia kufa njiani..

Uongozi husika naamini mmeliona mtalifanyia kaziii
 
Back
Top Bottom