Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

pole sana kijana mtoto wa kiongozi aliposhikwaaa china ndege iliondoka usiku aliachiwa.na ndipo hapo wachina kuja kuweka mikataba kibao.mwishimiwa kikwete leo umepea mmlaka ila umeyatumia kuangamiza vijana wa taifa hili laana hii itakungamiza wewe na kizazi chako hadi cha kumi majina unayo hutaki kufuatilia unajua miraji anafnya nini akishikwa mara ya pili utafaya nini au utauza njii
 
Hii ndiyo gharama ya Demokrasia!,laiti ingalikuwa hii TZ ni China basi tungekuwa na majina ya Hayati siyo hao watuhumiwa kuna tetesi zingine bana hata hazifai kuzungumzia we acha tu..........Mungu ibariki Tanzania.:A S kiss:
 
Jamani Watz heshima yetu inakwisha kila siku.
Ukienda Angola,Namibia,Zimbabwe na South Africa lazima utakuta Mtz yuko kwenye gereza kwa ajili ya drugs offences.

Wa Nigeria wako hated South Africa maana wamekuwa wasambazaji wa drugs muda mrefu.
Story ya hao 2 girls walioshikwa na madawa( kilo 150) was biggest haul ,kila Msauz anazumgumzia hili.

Sasa kuwa na passport ya Tz ni noma,tumeharibikiwa hasa huko Sauz.

Bora huu ujinga usifike Ulaya ,maana itakuwa ngumu sana kwa wengi wetu wasafiri.
 
''Wenye nguvu ya kupambana na biashara ya madawa ya kulevya wameamua kutumia nguvu zao kuyafadhili'', Hii nchi ilishaishiwa fedha, hazina ilishakauka. kifuatcho??? Efathaaa, maana yake FUNGUKAA
 
Nilitegemea Amiri Jeshi Mkuu kutumia muda mwingi katika kuizungumzia hii issue ya "sembe" kwenye hotuba
ya mwisho wa mwezi, lakini, .................!!!!!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Inashangaza kuwa mtu kama huyu kuwa na information nyingi kama hizi. Binafsi nina shaka nazo japokuwa madawa ni ukweli wa mambo. Wengi tumeathirika kwa njia moja au nyengine lakini lazima tuhakikishe habari ina vyanzo vya kuaminika.
 
sipingani na barua hiyo,lakin nina mashaka na barua hiyo kwan mwandishi amedai ameanzisha vita ili kutokomeza biashara hiyo,kisha anasema kuna wengine ni aibu kuwataja.je ni kweli ameanzisha vita dhidi ya madawa ya kulevya au ni kuchafuana?je kuna barua ambayo haina jina la mwandishi?madawa yapo na yanauzwa siku nyingi so lazima hatiua za zat zichukuliwe kuyatokomeza lakin tuwe makin na maamuz yetu tusije hukum wasio na hatia.
 
pole sana kijana mtoto wa kiongozi aliposhikwaaa china ndege iliondoka usiku aliachiwa.na ndipo hapo wachina kuja kuweka mikataba kibao.mwishimiwa kikwete leo umepea mmlaka ila umeyatumia kuangamiza vijana wa taifa hili laana hii itakungamiza wewe na kizazi chako hadi cha kumi majina unayo hutaki kufuatilia unajua miraji anafnya nini akishikwa mara ya pili utafaya nini au utauza njii

funguka zaidi mkuu.kiongozi huyo ni nani?ina maana viongozi wa ccm ndio biashara wakuu wa madawa ya kulevya????ina maana vile vile hawa viongozi wana mkakati wa kuharibu afya za vijana wa wa kitanzania?
 
Back
Top Bottom