Wafungwa kwanye simu zao utawawatambuaje?

Sahihi simu ni janga linalotutafuna taratibu
1.Siku ikiisha chaji unapagawa wengine wanatembea na charger kabisa wengine mpaka na mapawer bank
2.Ukiwa kwenye kikao ukituka tu ni kushika simu nani kakutafuta
3.ukikosa hela ya bando unachanganyikiwa
4.Bando unatakiwa uishike kwa makini ili isije ikapasuka kioo wengine ndio wanaweka maprotekta hahaha
5.usipopigiwa siku nzima utashika simu unashangaa sijapigiwa leo

Huu ni utumwa kabisa bila kujijua

So far nashukuru Mungu binafsi nimepunguza matumizi ya simu kutoka saa 10 - 12 hadi masaa 5nataka kwa siku screen time isome masaa mawili tu.
 
Kila mtu ana kipaumbele chake, kama wewe kipaumbele chako ni ibada well and good.

Na wengine vipaumbele vyao ni simu zao.

Usifosi watu wafuate kipaumbele chako cha ibada.
Utoto unakusumbua ukikua utaacha.
 
Kwa wengine mpenzi wake akishika simu wanaruka kama vile neurons zimetuma taarifa ya maumivu au moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…