Sahihi simu ni janga linalotutafuna taratibu
1.Siku ikiisha chaji unapagawa wengine wanatembea na charger kabisa wengine mpaka na mapawer bank
2.Ukiwa kwenye kikao ukituka tu ni kushika simu nani kakutafuta
3.ukikosa hela ya bando unachanganyikiwa
4.Bando unatakiwa uishike kwa makini ili isije ikapasuka kioo wengine ndio wanaweka maprotekta hahaha
5.usipopigiwa siku nzima utashika simu unashangaa sijapigiwa leo
Huu ni utumwa kabisa bila kujijua
So far nashukuru Mungu binafsi nimepunguza matumizi ya simu kutoka saa 10 - 12 hadi masaa 5nataka kwa siku screen time isome masaa mawili tu.