Wafumaniana, wabadilishana wake zao

Wafumaniana, wabadilishana wake zao

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618
Wakuu nimesoma gazeti la (Tanzania Daima) la leo Novemba 3, 2014 nimeiona hii taarifa nikafikiri ni vyema tukashere kwa pamoja.


Kwa kifupi mazingira ya tukio wanaume hao kila mmoja alikuwa na mke wa mwanaume mwenzake na walikutana kwenye nyumba ya kulala wageni, ndipo walipoamua kufika kwenye uongozi wa Kijiji hicho na kukubaliana mbele ya viongozi wa kijiji kuwa wabadilishane wake zao ili kila mmoja asimlaumu mwenzake kuwa alimfumania.



attachment.php
 

Attachments

  • Tz.jpg
    Tz.jpg
    103.1 KB · Views: 5,335
Hapo ni sawa kabisa,kwa kuwa kila mmoja alimwona mke wa mwenzie ni bora kuliko wake!
 
Kizazi cha zinaa kilitabiriwa na Bwana Yesu; kutokana na kazi ya pepo au jini mahaba; kama ilivyokuwa Sodoma na Gomora !
 
Dhambi kubadilishana mke kama desturi ya wagogo bonde la uranium; kule tarafa ya Chipanga na Unyambwani !
{1KOR 6:15~18}
 
Wanadai kwamba wamefanya hivyo ili urafiki wao usife kwa ajili ya uhasama.
 
nawaunga mkono kwa 101% kwa ubunifu huu kwani imesaidia sana kupunguza kulaumiana kati ya hao marafiki 2 walioamua kwa riadha yao kubadilishana papuchi. hii imekaa vizuri sana.
 
Break Newz

Katika hali isiyokuwa ya kawaida huko mkoani Mbeya, marafiki wawili waliofumaniana guest house walifikia makubaliano ya kubadilisha wake zao. Hii ilitokea baada ya marafiki hao walioshibana kufumaniana kila mmoja akiwa na mke wa mwenzake lakini badala ya kulaumiana au kudhuriana wakakubaliana wabadilishane wake.

Mabadilishano hayo yamefanyika kwa maandishi mbele ya Afisa Mtendaji na baada ya tukio hilo kila mmoja ameondoka zake akiwa na furaha baada ya kumpata mke wa ndoto yake.

NAOMBA MAONI YAKO TAFADHALI KATIKA HILI TUKIO
 
kama sio wa ndoto yake alimuoa wa nini? Huo ni ushetani na uzinzi tu. Hakuna la maana hapo na sana sana tu watakaa kwa muda kidogo kila mtu akafuate mke wake. Vipi kuhusu watoto wako kwenye huo mkataba wa kizinzi au ni wao wenyewe?
 
Walikuwa wanachapiana kutambo,huyo mke mpya ana swaga Kama za mke wangu?,Mara nyingine tunatoka nje Ili kupoza kiu ya muda mfupi bila ya kuangalia huyo mwanamke ana kiwango ama vp hapo ningekuwa Mimi ningelipa faini lakini mke wangu naondoka naye,yaani niache pamba, nichukue polygon...never.
 
Mfume dume. Kwa nini isiwe ni akina Mama wameamua kubadilishana Midenge? Sidhani ni akina baba walikubaliana wakutane hapo. Ila akina Mama ni kawaida zao. Wanawake wanatumia sana akili kuwa-control wanaume, na sisi tunakwenda kichwa kichwa.

nawaunga mkono kwa 101% kwa ubunifu huu kwani imesaidia sana kupunguza kulaumiana kati ya hao marafiki 2 walioamua kwa riadha yao kubadilishana papuchi. hii imekaa vizuri sana.
 
Yaani niache my wife ambaye ni pamba kali nichukue polygon? Wee usinitanie....
 
Biblia imemsema mme kumtawala mke we unakuja na habari za mfumo dume? kila kitu kitapita ila si kwa yaliyonenwa na muache kuwadanganya wanawake eti mfumo dume,kama mnataka wafight huu mfumo basi waanze na kuichoma Biblia ama watangaze kuifight hiyo kitabu kitakatifu.
 
Neno watoto wa maskini limebadilishwa maana rasmi. Shule za kata wanasoma watoto wa matajiri
 
hakuna kurudi mtu,na hao wanawake kila mmoja atakuwa anavaa nguo za mwenzie
 
Back
Top Bottom