navy boi
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 1,520
- 482
WAFUGAJI WAMTOSA LOWASA:
Kundi la wafugaji nchini wamesema hawamuunga mkono Lowasa kwa sababu,
Lowasa ni mbinafisi, inakuwaje yeye wakati akiwa waziri mkuu aliwatetea wafugaji wa kimasai kuchungia hifadhini lakini Wasukuma na Wakurya kule Serengeti wakiingiza mifugo yao hifadhini wanakamatwa na kupigwa faini kubwa?
Wamasai aliwaibia sana mifugo yao kwa kuinunua kwa bei ndogo, hivyo wanasema wakimchagua ni kumkaribisha fisi zizini ili aendelee kuwamalizia mifugo yao.
Lowasa ni mnafiki katika mikutano yake hakuna sehemu aliyoongelea maswala ya wafugaji na wakulima,hususani wanaokosa sehemu za malisho, yeye anachowaza ni kuwa rais wa machinga na mama ntilie.
HIVO HAWACHAGU MTU ASIYEJUA MATATIZO YA WAFUGAJI.