Wafugaji wamtosa lowasa:

Wafugaji wamtosa lowasa:

Habari MTANZANIA, Naitwa Edward Ngoyai Lowassa, nagombea urais kupitia CHADEMA chini ya mwavuli wa UKAWA. Nina nia na dhamira ya kweli ya kuibadilisha nchi yetu. Uwezo ninao na rasilimali tele zipo! Hakuna sababu ya watu wetu kuwa masikini kiasi hiki kwan utajiri wa nchi hii ni wetu wote. Nitaboresha maisha ya wakulima, wafanyakazi, wafanya biashara wakubwa na wadogo na zaidi yate nitatokomeza RUSHWA. Kwa heshima kubwa nakuomba KURA yako tarehe 25.10.2015. UHURU WA KWELI, MABADILIKO YA KWELI. MUNGU ibariki Tanzania. Nakuomba utume ujumbe huu kwa Watanzania 50. MUNGU akubariki.

Eeehhhh.... !!! Sawa tumempata mgombea wa UKAWA. JAMANI KUNA MTU ANASWALI LOLOTE JUU YAKE?? Mi nianze nakumuuliza leo mbona umekimbia mkutano karatu? usikimbie jibu maswali tafadhali.
 
12079185_901724439903318_5955829688122008179_n.jpg
Huu uongo hata kwenye khanga upo
 
Lowassa ana ngombe aprox: 10,000 na kama sio zaidi, lakini ngombe zake hazikosi malisho wala maji .
 
Usikubali leo tanzania inazidiwa na burundi wanashilika la ndege liko makin lakin cc hakuna kitu kenya wanashilika lina ndege 60 hv nyerer si aliacha shilika la ndege likiwa hai hiii leo liko wap ndege aliyonunua mkapa na yenyewe iko wap unahitaji kua na tatizo la akili kupigia kula ccm walim tabora wameitisha mgomo malimbikizo cha maden ya mishahala

Je unafahamu kifaa kiitwacho LOWASA...?
NI kifaa cha kisasa chenye uwezo mkubwa wa kuangamiza na kutokomeza kirusi sugu kiitwacho CCM, sasa kifaa hiki kinapatikana nchi nzima katika mwonekano mpya kupitia king'amuzi bora cha UKAWA, kwenye mtamdao ulioenea nchi nzima wa M4C na chanel kama CHADEMA, NCCR, CUF na NLD.
Chagua LOWASA, chagua Ukawa kwa mabadiliko ya kweli,
Tanzania bila ccm inawezekana, fanya maamuzi ya busara 25 oct.

Haaaaaah ww me nlfkr akili zimo burundi na tanzania kwel?
 
Hii inaitwa Toroka Uje
 

Attachments

  • 1443840655118.jpg
    1443840655118.jpg
    20.2 KB · Views: 70
WAFUGAJI WAMTOSA LOWASA:

Kundi la wafugaji nchini wamesema hawamuunga mkono Lowasa kwa sababu,

Lowasa ni mbinafisi, inakuwaje yeye wakati akiwa waziri mkuu aliwatetea wafugaji wa kimasai kuchungia hifadhini lakini Wasukuma na Wakurya kule Serengeti wakiingiza mifugo yao hifadhini wanakamatwa na kupigwa faini kubwa?

Wamasai aliwaibia sana mifugo yao kwa kuinunua kwa bei ndogo, hivyo wanasema wakimchagua ni kumkaribisha fisi zizini ili aendelee kuwamalizia mifugo yao.

Lowasa ni mnafiki katika mikutano yake hakuna sehemu aliyoongelea maswala ya wafugaji na wakulima,hususani wanaokosa sehemu za malisho, yeye anachowaza ni kuwa rais wa machinga na mama ntilie.

HIVO HAWACHAGU MTU ASIYEJUA MATATIZO YA WAFUGAJI.


Kwa taarifa yako Alisema ndani ya SIKU 100 ataunda TUME ya kutatua migogoro ya WAFUGAJI NA WAKULIMA.

Check hiyo LINK na uwache kuleta habari zako za LUMUMBA

Lowassa: Kwa siku 100 nitafanya mambo 13 - Kitaifa | Mwananchi
 
Back
Top Bottom