Wafugaji kuku mtabadilika lini?

Hahahaa shida ni kwamba wafugaji wengi wanafuga kwa Sifa yaani mtu anafuga ili aonekane na Majirani kwamba anafuga ila ukweli ni kwamba ana zuga.

Pia watu wana fuga kama part time yaani kwake kuku sio ishu sana kwa sababu mshahara upo, so bei hata ikiwa 0 yeye sio ishu kwake make akaunti yake inasoma.

Hiyo ndo sababu kubwa kwa nini bei hazipandi.

Pia watu hawataki kutumia akili wanategemea akili za madalali.
 
Nilivyokua form 2 (2010) bei ya jumla ya kuuzia kuku ilikua tsh.5000 hadi tsh.5500/= leo hii nipo chuo mwaka wa pili (2017) SEVEN YEARS ONWARDS bei ni ile ile tsh.5500/= while considering kwamba other factors kama bei za madawa, vyakula, usafiri,ufundi,mbao,hardware, maji na umeme zimekua zikiendelea kupanda JUU. Mmekua dhaifu na mmekosa umoja wa ku control soko lenu wenyewe.What is the point of being an entrepreneur if you still work for someone....Wafugaji mkiendelea na upofu na ulimbuken huu huu wa kupelekeshwa na wanunuzi mtaendelea kuishia kwenye mediocracy tu...MMEKUA MKILALAMIKA UFUGAJI WA KUKU HUZAA FAIDA NDOGO BILA KUSAHAU NYIE WENYEWE NDO WACHAWI WA KUTOKUENDELEA KWA BIASHARA ZENU ......AMKENI.....FUNGUKENI.....CHUKUENI HATUA..... TAKE A STAND MFUGAJI

CHA KUJUA NI KIMOJA, MNALISHWA KUKU FEKI .... HUO MDA WAMEGUNDUA NAMNA YA KUKUZA KUKU FEKI .....
 
Hahahaa shida ni kwamba wafugaji wengi wanafuga kwa Sifa yaani mtu anafuga ili aonekane na Majirani kwamba anafuga ila ukweli ni kwamba ana zuga.

Pia watu wana fuga kama part time yaani kwake kuku sio ishu sana kwa sababu mshahara upo, so bei hata ikiwa 0 yeye sio ishu kwake make akaunti yake inasoma.

Hiyo ndo sababu kubwa kwa nini bei hazipandi.

Pia watu hawataki kutumia akili wanategemea akili za madalali.
Kweli mkuu wengi ni sehemu za kuzuga..wanakuwaga na pesa chafu
 
Soko ndio linaloamua bei sidhani kama kuna mfugaji anataka kuuza kwa bei ndogo....kama bei iliyopo sokoni ni sh 5000 wewe ukikomaa na kuuza 9000 nani atanunua!
 
Mkuu soko si ni demand and supply...... Usiniambie over the year supply ya kuku ipo fixed...... Kila kukicha watu wanaongezeka particularly kwenye majiji kama dar, mwanza etc.....Pia ukisema soko kuna buyer and seller wao nao wana play a crucial role kwenye kupanda na kushuka kwa bei ya kuku....Kwa akili yote ya mfanyabiashara sio akili ya kifugaji bali akili ya kufanya biashara siku zote gharama za kuendesha biashara zikipanda ni lazma tu bei nayo itapanda.... Sasa tatizo ni kwamba wafugaj weng wanaile mentality ya kifugaji but sio mentality ya kifanya biashara......Pia ukisema soko ndo linaamua jiulize siku kama ya leo ukienda kununua kuku na ukienda kununua kuku siku moja kabla ya chrismas au pasaka bei itakua sawa..... Wakat mfugaj yeye leo anauza kuku kwa bei hyo hyo ya 5500 na siku za sikukuu atalazmika auze kwa bei hiyo hiyo wakat huyo anaenunua kwa mfugaji akienda sokon anapandsha bei kuliko kawaida kisa tu ni sikukuu......
 
Ndio watu wanaongezeka jee wanaokula kuku ni kiasi gani? Siku za sikukuu demand inaongezeka kwa sababu nyumba nyingi wanabadili chakula na kula kuku siku hiyo...na nyama nyingine mbalimbali. Labda ungesema wafugaji wapige kampeni kuhimiza ulaji kuku ili kuongeza demanda hivyo kupata mwanya wa kupandisha bei!
 
Unavyozungumzia soko la kuku kuna vingi vya kuangalia, kwanza unazungumzia kuku kundi lipi? Broilers ,kienyeji au wa mayai.
Sasa kwa miji yetu hakuna soko kubwa la kuku maana bado lipo la ndani tu na hili limechangiwa sana na biashara ya kuku kushuka sana kwa sababu ya magonjwa ya mlipuko (mafua ya ndege) sasa soko kwa ndani siyo kubwa kulingana na wahitaji ila wafugaji wanapata faida kiasi kulingani na soko na huwa kwa sababu hiyo huwa linapanda na kushuka na halimuhakikishie mfugaji fixed profit, ila kwa wanaoendlea kufuga kwa ajili ya mayai wanalipa faida mayai bado soko ni kubwa kulinganisha na nyama
 
labda kuku wa kizungu ndio utanunua kwa sh 5500.lakini hakuna kuku wa kienyeji wa bei hiyo"kuku wa kienyeji wanaanzia elf10-14...majogoo yanaanzia elf15 mpaka elf 25.
kama kuna sehemu wanauza kuku wa kienyeji kwa elf5-6 ni PM nikawasombe wote.
NB:Hakuna kuku wa kienyeji wa sh elf5500 labda broilers
 
Broiler hao br,kuku wa kienyeji huwezi pata kwa bei hiyo hata huko vijijini
 
Soko ndio linaloamua bei sidhani kama kuna mfugaji anataka kuuza kwa bei ndogo....kama bei iliyopo sokoni ni sh 5000 wewe ukikomaa na kuuza 9000 nani atanunua!
Tatizo jamaa sio mfugaji ndiyo maana anakurupuka... Pasipo kujua kuwa kutokana na bei ya soko wafugaji wanapambana kushusha gharama ya chakula ili faida ipatikane
 
Tatizo jamaa sio mfugaji ndiyo maana anakurupuka... Pasipo kujua kuwa kutokana na bei ya soko wafugaji wanapambana kushusha gharama ya chakula ili faida ipatikane
Wewe unafuga? Mimi nisha fanyia watu kibao ukokotoaji wa gharama kwa kifupi watu wanafanyia hasara. Nikipata nafasi nitaeleza kwa namba
 
Mkuu unazungumzia kuku smart ama kuku zezeta?,kuku ambaye ukimweka sehemu unamkuta hapohapo atapandaje bei sasa
 
Mkuu unazungumzia kuku smart ama kuku zezeta?,kuku ambaye ukimweka sehemu unamkuta hapohapo atapandaje bei sasa[/QUOT.

Unajadiliana na mfugaji/mchambuzi wa mtandaoni.Anakula na kwa baba na mama.Anaowaponda wanaishi maisha halisi.Kama hailipi aeleze wamaudu namna gani gharamaa za ufugaji.Chakula na dawa.

Kaulizwa swaliz zuri anaongelea kuku aina ipi? wapo kuku wanaofugwa na kuvunwa si zaidi ya wiki 8 pia kuna kuku wanaoweza kuvunwa si chini ya wiki 24 aeleze anazungumzia kuku aina ipi.

Afuatilie wafugaji halisi wa kuku waliofanikiwa akajifunze ila kama lengo lake ni kuimarisha kikosi cha kukosoa tu mitandaoni hata nauli itakuwa shida kuipata.
 
Back
Top Bottom