Huyu bwana ni bora kiutendaji kuliko wengine wengi wanaojinadi. Ila wengi mko gizani kutokana na kampeini na mbinu chafu za akina Mnawie na wana CCJ wote. Tusubiri wakati utasema.
Vipi watanzania wanampenda kweli au ushawishi wa fedhaKinana, Sitta, Nape, Makongoro Nyerere, Mwakyembe, Membe. Add