Wafuatao wanampinga Lowassa ndani ya CCM kuwa mgombea urais 2015

Huyu bwana ni bora kiutendaji kuliko wengine wengi wanaojinadi. Ila wengi mko gizani kutokana na kampeini na mbinu chafu za akina Mnawie na wana CCJ wote. Tusubiri wakati utasema.
 
Huyu bwana ni bora kiutendaji kuliko wengine wengi wanaojinadi. Ila wengi mko gizani kutokana na kampeini na mbinu chafu za akina Mnawie na wana CCJ wote. Tusubiri wakati utasema.

wakati wa kata 3 ndan ya kata 27
 
Hii nimeiona mahali je itafanya kazi kweli?

Kipi cha ajabu, Kikwete na Lowassa walikuwa marafiki, sasa ni historia, vivyo hivyo video hizi ni historia iliyopitwa na wakati! Bila kifo cha CCM, Ukombozi wa pili wa nchi hii, hauwezi kupatikana. Yeyote mwenye uwezo wa kusababisha kifo cha CCM, ni Kamanda katika Ukombozi wa pili wa nchi hii! Na mwenye uwezo wa kuisambaratisha CCM, ni Lowassa. Lowassa karibu CHADEMA. We salute you!
 
Back
Top Bottom