Wafuatao wajiandae kisaikologia kuelekea kisutu

Wafuatao wajiandae kisaikologia kuelekea kisutu

Trully Tanzanian Brains, a blind follower, talkative,confident but being run by remote control a total yes man without any kniwledge of what he or she is supporting.
Hii vita ni kubwa zaidi ya unavyofikiri!!! Watu tumechoka and we're ready for anything!!! Bahati mbaya hujanielewa!!!

Hatuwezi kuishinda vita hii tukiwa tumejificha nyuma ya keyboard
 
Makonda tena?
Mbunge mtarajiwa huyo. anaandaliwa jimbo hapa Mwanza.
Wanategemea kumega eneo la Nyamhongolo, Kisesa, maeneo ya jimbo la Misungwi hadi huko kwao maeneo ya Kolomije ambapo ni jimbo la Sumve
 
Zipo taarifa zinaeleza kuwa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 baadhi ya watu wapo katika hati hati ya kupiga kampeni wakiwa gerezani au wakiwa na kesi mahakamani. Mfano
1. Benard Membe
2. January Makamba
3. Mzee Kinana
4. Paul Makonda
5. Mnyeti
6. Emmanuel Nchimbi
7. Maalim Seif
8. Suleiman Jafo
9. Kangi Lugola
10. GSM
11. OIL com owners
12. NHC Director
13. Basil
Namba 4 hebu rekebisha uweke Nape Nauye
 
Ninacho subiri ni siku zitto na mbowe watafikishwa mbele ya mahakama ya sheria kusomewa kesi zao za uhujumi uchumi na umiliki wa magenge ya kigaidi.
Mangenge ambayo mama ako ni mmoja wao.
 
unamaanisha Paul yule mwenye msambwanda mkubwa au yupi mwingne???.
 
Ungetaja na makosa yao kila mmoja ili tuone kitakachowapeleka huko
Zipo taarifa zinaeleza kuwa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 baadhi ya watu wapo katika hati hati ya kupiga kampeni wakiwa gerezani au wakiwa na kesi mahakamani. Mfano
1. Benard Membe
2. January Makamba
3. Mzee Kinana
4. Paul Makonda
5. Mnyeti
6. Emmanuel Nchimbi
7. Maalim Seif
8. Suleiman Jafo
9. Kangi Lugola
10. GSM
11. OIL com owners
12. NHC Director
13. Basil
 
Mkuu ebu funguka kidogo ili tujue

Back
Top Bottom