DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,983
- 30,867
Wahuni wote watatiwa nguvuni.
Ccm mbele kwa mbele.
Ccm mbele kwa mbele.
Amka acha kuota utajikojolea
Wahuni wote watatiwa nguvuni.
Ccm mbele kwa mbele.
Utakuwa humtendei haki mleta mada maana hajakulazimisha kuamini alicho kiandikaMkuu. Hivi mnaamkagatu na kuanza kupiga ramli chonganishi? Waza maisha yako ndugu yangu. Achana na wanasiasa maana hawa hawata kuletea pesa mfukoni kwako.
ukiendekeza siasa mwisho wa siku umaskini utakua ndugu yako maana umetumia muda mwingi kuwaza siasa badala ya kufikiri na kuweka mipango ya kujikwamua kwenye umaskini.
wanasiasa hawanaga ugomvi, ungetegemea lowasa aliekua ana nangwa na chadema kwamba ni fisadi angepokelewa chadema na kuwa lulu kwenye chama? Akili kichwani mwako tafuta pesa mzee baba.
Usipokuwa makini unawezaje ukaliamini hili bandiko
unamaanisha Paul yule mwenye msambwanda mkubwa au yupi mwingne???.
Ninacho subiri ni siku zitto na mbowe watafikishwa mbele ya mahakama ya sheria kusomewa kesi zao za uhujumi uchumi na umiliki wa magenge ya kigaidi.
umemiss kupumuliwa kisogoni?
Paulo tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Funga woote hao mpaka Mimi mwenyewe
Court of laws,hiyo mahakama ya uhujumi uchumi ipo Wapi?.Na wewe, mahakama ya sheria au ya uhujumu uchumi?