- Thread starter
- #61
Injili ni upumbavu kwa wasioiamini,Pumba tupu.
Lakini ni wokovu kwao waaminio!
Injili ni upumbavu kwa wasioiamini,Pumba tupu.
Sawa, naona Mungu mwema kwa kweli.!!Ni kweli,
Mimi mwenyewe mada hii hata sikuwahi kuwaza kuiandika,
Nimeisikia tu Katika Roho muda SI mrefu, nikatii na kuileta.
Ubarikiwe 🙏

Nadhani anamaanisha walikole WAMEDATANdio ikoje hiyo Akili ya upande mmoja!