elezea utakatifu ninini?Mimi Rabbon ni mtakatifu,
Vipi WEWE? Ukitaka pia waweza kuwa mtakatifu kwa kufuatisha sala hapo juu kwa mada.
Kisha elezea utakatifu wako

WALOKOLE hawaishi MAISHA ya kubahatisha. ( Betting).Wangekuwa wanayajua ya Kesho mbona makampuni ya kubeti yangefilisika
Salaam, Shalom!
Kuna msemo wa wasiojielewa usemao ati "Hakuna aijuaye kesho yake" huo ni uongo,
Kesho ya watu inafahamika na ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuamua kesho yake iweje, sasa hapa duniani wapo wanadamu wenye KUISHI chini ya jua hili na wanaoijua kesho yao, ni akina nani hao?
JIBU: WATAKATIFU WAISHIO DUNIANI( WALOKOLE), NDIO WANADAMU PEKEE WENYE UHAKIKA,WAIJUAO KESHO YAO.
Aliyempa Yesu Kristo maisha yake, mwenye KUISHI MAISHA ya utakatifu,ndiye mwenye UHAKIKA juu ya kesho yake, ni mtu anayeishi, past, present na future kwa wakati mmoja.
Ushahidi huu hapa: (John 5:24)
Yesu asema: Amin, Amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno LANGU na kumwamini Yeye aliyenipeleka Yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, Bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.
... Mwisho wa kunukuu.....
Mtu na asikudanganye, kuokoka, kuisikia injili, habari njema ya Yesu Kristo /Yeshua Hamashiach,Mungu aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu, ni muhimu sana, fursa hiyo amenyimwa shetani na mapepo waasi, wangependa waipate Ili kurudi Mbinguni lakini waeikosa,
Fursa hiyo umepewa Mwanadamu Tena ni wakati huu ukiwa hai, baada ya kifo ni hukumu ikiwa hujamwamini Yesu.
Na mtu aliyemwamini Yesu, jina lake likaandikwa KITABU CHA uzima, hasimami hukumuni siku Ile ya mwisho.
NOTE: MLOKOLE NI IMORTAL ( ZABURI 82:6).
Mlokole, mtakatifu, hana mwisho wa MAISHA yake, Mlokole ni Immortal, ni muungu, hana mwisho. Na uungu huo kaupata kwa kumwamini Yesu.
Ikiwa unapenda kuwa na hakika juu ya kesho yako, fuatisha sala hii;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE,UZINZI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LANGU YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMIN.
Nimeelewa vyema rudia kusoma kilichoandikwa hapo juu 🙄elezea utakatifu ninini?
Kisha elezea utakatifu wako
Ni kweli,Chai
Nimeishia hapo kwenye mlokole ni IMMORTAL
Nipe majina yako pm nikakuoneshe kitu kama unajiaminiNi kweli,
Mlokole ni Immortal. Kama huamini, nenda chukua nyayo za mguu wa Mlokole, mpelekee mganga kama atasomeka kwenye rada zao.
Nimekwambia hivi,Nipe majina yako pm nikakuoneshe kitu kama unajiamini
umehamia kwenye kuroga tena, umesema mlokole ni IMMORTAL labda huelewi maana ya IMMORTAL ndugu, maana yake mlokole hawezi kufa! je, ni kweli mlokole hawezi kufa? mimi sijasema habari za kurogeka nazungumzia uIMMORTAL, hata BWANA alisema "Hakika mtakufa" wewe ni nani unapotosha watu kwamba walokole ni IMMORTAL.Nimekwambia hivi,
Mlokole harogeki, kumroga Mlokole, uanze kumroga Yesu aliye ndani ya Mlokole, jambo Hilo shetani hawezi kujaribu.
Aaah em wacha hizo wewe mambo kwa ground sio kama usemavyo mkuu.Hakuna Mlokole anayezini,
Hako ni ka pepo kenzio, pipa na mfuniko.
Rudia kusoma kifungu nilichoquote John 5:24.umehamia kwenye kuroga tena, umesema mlokole ni IMMORTAL labda huelewi maana ya IMMORTAL ndugu, maana yake mlokole hawezi kufa! je, ni kweli mlokole hawezi kufa? mimi sijasema habari za kurogeka nazungumzia uIMMORTAL, hata BWANA alisema "Hakika mtakufa" wewe ni nani unapotosha watu kwamba walokole ni IMMORTAL.
Walokole mna utaahira sanaSalaam, Shalom!
Kuna msemo wa wasiojielewa usemao ati "Hakuna aijuaye kesho yake" huo ni uongo,
Kesho ya watu inafahamika na ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuamua kesho yake iweje, sasa hapa duniani wapo wanadamu wenye KUISHI chini ya jua hili na wanaoijua kesho yao, ni akina nani hao?
JIBU: WATAKATIFU WAISHIO DUNIANI( WALOKOLE), NDIO WANADAMU PEKEE WENYE UHAKIKA,WAIJUAO KESHO YAO.
Aliyempa Yesu Kristo maisha yake, mwenye KUISHI MAISHA ya utakatifu,ndiye mwenye UHAKIKA juu ya kesho yake, ni mtu anayeishi, past, present na future kwa wakati mmoja.
Ushahidi huu hapa: (John 5:24)
Yesu asema: Amin, Amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno LANGU na kumwamini Yeye aliyenipeleka Yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, Bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.
... Mwisho wa kunukuu.....
Mtu na asikudanganye, kuokoka, kuisikia injili, habari njema ya Yesu Kristo /Yeshua Hamashiach,Mungu aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu, ni muhimu sana, fursa hiyo amenyimwa shetani na mapepo waasi, wangependa waipate Ili kurudi Mbinguni lakini waeikosa,
Fursa hiyo umepewa Mwanadamu Tena ni wakati huu ukiwa hai, baada ya kifo ni hukumu ikiwa hujamwamini Yesu.
Na mtu aliyemwamini Yesu, jina lake likaandikwa KITABU CHA uzima, hasimami hukumuni siku Ile ya mwisho.
NOTE: MLOKOLE NI IMORTAL ( ZABURI 82:6).
Mlokole, mtakatifu, hana mwisho wa MAISHA yake, Mlokole ni Immortal, ni muungu, hana mwisho. Na uungu huo kaupata kwa kumwamini Yesu.
Ikiwa unapenda kuwa na hakika juu ya kesho yako, fuatisha sala hii;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE,UZINZI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LANGU YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMIN.
Ndio nakwambia,Aaah em wacha hizo wewe mambo kwa ground sio kama usemavyo mkuu.
Ni kweli,Walokole mna utaahira sana
kurudi mavumbini kulala usingizi baada ya pumzi ya roho kuuacha mwili mtu anayarudia mavumbi anakuwa mavumbi anazikwa haendi popote analala kaburini kusubiri siku ya hukumu, ambapo kila mmoja alielala ataamka wengine kwa uamsho wa kuhukumiwa wengine kwa uamsho wa kukombolewa.Rudia kusoma kifungu nilichoquote John 5:24.
" Amekwisha pita toka mautini kwenda uzimani"
Labda tuanzie hapa,
Kufa ni Nini?
Shakarakabagoshayi!Walokole wengi wakipimwa afya ya akili lazima iwe imekimbilia upande mmoja.
Pumzi ya uhai kwa hiyo inakufa pia Roho ijitengapo na mwili?kurudi mavumbini kulala usingizi baada ya pumzi ya roho kuuacha mwili mtu anayarudia mavumbi anakuwa mavumbi anazikwa haendi popote analala kaburini kusubiri siku ya hukumu, ambapo kila mmoja alielala ataamka wengine kwa uamsho wa kuhukumiwa wengine kwa uamsho wa kukombolewa.